UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

Bashe amejitahidi kukemea jambo la msingi sana ktk jamii ambalo CCM walikua wanaliona kama mtaji wa kisiasa kumbe ni BOMU ambalo linaweza kuangamiza taifa kwa kuwagawa watanzania kwa misingi ya UKABILA 'hongera kwa kuthubutu'.

Ingawa kwa upande fulani kuna chembechembe za kutetea mapacha. Huu ni mwanzo wa kufunguka kwa wanaCCM tunategemea makubwa yatakuja baada ya kujifunzi kutoka CDM. Hongera CDM kwa kuwa 'Wrestleblower' kwani sote lengo letu ni kuona nchi yetu inapata maendeleo, na wananchi wanaishi maisha mazuri yenye matumaini!
 
Nimeamin kuna baadhi ya wanachama wa ccm ni wabaguzi. Hata mwenzenu mnambagua? Bashe ni mtanzania jaman. Bashe nenda cdm, kule hakuna ubaguzi.
 
Most of ur posts defines a whine that u r!! When u start a thread also show subjectively why he is doubtful, we don't give a toss wether Bashe, Rostam,kikwete, Slaa paid for his education..its his ability as a leader that will get him the coveted post, now get tht in u and work on it
 
Reactions: LAT

hammer ...!
 

Yaani post zake hazieleweki kabisa!!! Sijui ana haraka au ndio wale wale???
 
imekwenda shule tatizo wanamacho lakini hawaoni wanamasikio lakini hawasikii CCM kunawatu walisha jiwekeya nimladi wao hawapo ccm kuiendesha chama ila ccm iendeshe maisha yao anapo tokeya mwanachama nakusimama hawa ma********* huona kama watawazibiya mlo wanavisingizio bila wao chama hakiendi ccm naweni uso hawa walio weka chama ni chakulisisha toka babu baba hadi watoo hatutafika
 
Message sent...!!! Waliosikia na wasikie..!! Hongera bashe angalau with kaunafiki umeongea some truth..!!:mod:
 
Suala sijui bashe katumwa anamuongelea nani hili si la msingi, la muhimu ni Ujumbe aliousema una mashiko si mchezo. Saa nyingine hata vichaa na wendawazimu huongea ukweli judge the message not the messenger

Nimeipenda Avarta yako mkuu
 

Hussein Bashe, sina tatizo na asili yako kwakuwa nchi hii imekuwa ya hovyo chini ya CCM, imekuwa ya hovyo zaidi tangu aingie madarakani Kikwete ambapo wagiriki, wachina, wabelgini, wakomoro na wangazija wanachuma raslimali za walipakodi kama hawana akili nzuri, usomali wako haunipi shida kabisa we ukipata fursa ya kukamua chini ya CCM kamua mwanawane.

Pili sina tatizo na mbinu unazotumia kupata madaraka makubwa. Kama una wadogo zako vyuoni, misikitini na penginepo wewe endelea tu mradi azma yako iimie maana tangu mlipolivunja azimio la Arusha kila mtu anatumia mbinu anazozijua yeye kupata ulaji.

Lipo jambo moja ambalo unalazimika kulitazama. Majibu yako yamekaa kihuni. Wenzako HUSAMEHE NA KUSAHAU. Haina maana kusamehe halafu unakumbukumbu ya hujuma za miaka sita iliyopita. Unaonekana ni mtu wa visasi, hutufai watanzania na huwafai wana Nzega.

Baya zaidi ni kuwa achana na LOWASSA. Heshima yako itashuka ukiendelea kumtukuza huyu jambazi. Achana nae jijenge kisiasa wewe mwenyewe.
Ni hayo tu
 
Duuu mkuu wewe unatisha! yaani nimekukubari,kwanza unajua kujenga hoja kwa kuipangilia,pili yaonyesha mkichwa wako umejaa busara na hekima.....Jamani makachero wa CDM mko wapi? huyu Bashe hastahili kuwa ccm hata kidogo!. Hebu mtafuteni huyu kijana na kisha mkaenae kwa marefu na mapana. Lakini huu ni mtizamo wangu tu
 


Biblia inasema kimtokacho mtu ndicho kimchafuacho kuliko kimwingiacho. Alichoongea Bashe ndio falsafa inayotakiwa na kama CCM wanajua nini wafanye ndicho alichowaelekeza, cha ajabu CCM sasa wanatekeleza ilani ya uchaguzi wa Chadema.

Matatizo ya wengine hapa ni kuangalia mtu binafsi na mambo yake badala ya hoja anayoongelea. Bashe nampa big up kwa hoja aliyotoa kuliko wanaosema eti tuangalie back ground yake, huko ni kuishiwa hoja, jibu hoja aliyotoa, ebo!
 
Kufanya kazi kwa Rostam Aziz sioni kama tatizo, tatizo kama Bashe angekuwa na kazi ya kuiba. Anachofanya kwa Rostam ni kwa ajii ya kujikimu kimaisha, na hata wewe ukikosa kazi na Rostam ana nafasi ya kazi utaichangamkia tu. Rostam hajaweka ukingo wa ajira kwa wafuasi wake tu ila kwa kila mtanzania mwenye sifa kwa nafasi ya kazi inayokuwa wazi.

Kama una tatizo lako binafsi na Bashe sema, lakini kwamba kwa vile kaajiriwa na Rostam hiyo si hoja, jibu hoja ya bashe kwa mantiki ya kifalsafa na si kwa mtindo wako wa kubeza hoja ikikuzidi nguvu.
 

Mr. Bashe,
1) Achana na visasi jifunze -forgive & forget
2) Jijenge kisiasa wewe mwenyewe - yuko sahihi mno jamaa kukwambia hivyo, huenda we hujijui waweza simama na miguu yako mwenyewe, na kwa hayo uliyosema unakubalika na mtu mwenye busara yeyote hasa unapokemea udini, ukabila na mashambulizi ya binafsi (personal attacks) badala ya kuleta maendeleo kwa wananchi
3) Karibu CDM ukishasimama mwenyewe!
 
me nikupongeze kwa kukubali kujibu hoja na shutuma zilizotolewa na Lampard,hata kama majibu yako ndio ukweli au ni uongo sio issue sana,kwani umemzidihata katibu wako Mwenezi,ayetumbukia nae kwenye cheap politics za ukanda na ukabila kwa kkuendeleza siasa za maji taka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…