UVCCM Arusha wamuhakikishia na kumuunga mkono Rais Magufuli!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana mkoani Arusha ndugu Saitot Zelothe amemuhakikishia Rais Magufuli uungwaji mkono kutoka mkoani hapo na kuweka wazi kuwa hawatarajii kumsikia mwanaCCM atakayetia nia ya kugombea Urais kupitia CCM 2020 kutokea Arusha.

Hii ni kutokana na Juhudi na matokeo ya haraka na yasiyo na mlinganisho ya Serikali ya Rais Magufuli ndani ya kipindi cha miaka 3.

HERI YA MWAKA MPYA
 
rais Mzalendo ana jukumu moja tu nalo ni kutuletea maendeleo watanzania , nasi raia wazalendo tuna jukumu la kumuunga mkono . uungwaji huu mkono unakwenda sambamba na kuipia kura CCM ili ashinde tena
 
Nuh expect nuttin fram ah pig but ah grunt
35498853_s.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Ahahaha Saitoti msomi wa sheria,anatoka familia bora lakini ameamua kuwa mchumia tumbo.sijui anakosa nini kwa Zelothe mpaka ajidharirishe huko CCM.
 
Back
Top Bottom