Mpenzi wako anaweza kuwa anapenda rangi fulani au baadhi ya nguo,mitindo au mishono.
Je unafikiri lipi ni sahihi,kuvaa vile anavyotaka mpenzi wako utokee hata kama moyo wako hautaki au uvae utakavyo wewe hata kama darling wako hataki?.......mimi mawazo yangu nitatoa baadae.
kama ipendavyo familia yenu.
na hii mara nyingi inakuwa mrengo wa kati....kama nyote wawili muna mitazamo ambayo iko kwenye extremes
Nina umri wa miaka arobaini na nne, mamaa anataka nivae kama wanamuziki wa bongo flavor.
Inaniumiza sana.
ni kweli kabisa Zion Douta kwanza inabidi uangalie nafsi yako mke inabidi aangalie test yako na kujaribu kuiboresha mimi mke wangu anapenda nivae casual na simple lakini mazingira ya kazi yangu yanataka tai na koti la suit hapo inabidi tu akubaliane na mie kwani ndio mazingira yanavyotaka na mimi pia naenda nayo sawa na ninapenda mavazi hayoTo be yourself is more important.Jifunze kujipenda wewe kwanza.Na hata wenzi wanapaswa kuwa more understanding kwa vile mwenzie anapenda.Inaruhusiw kumbadilisha mwenzio taratibu taratibu lakini sio lazima.
Mpenzi wako anaweza kuwa anapenda rangi fulani au baadhi ya nguo,mitindo au mishono.
Je unafikiri lipi ni sahihi,kuvaa vile anavyotaka mpenzi wako utokee hata kama moyo wako hautaki au uvae utakavyo wewe hata kama darling wako hataki?.......mimi mawazo yangu nitatoa baadae.
Brother mie naona hii ya kwamba 2 have became 1 is very difficult... u can not just switch from whom u r to be what your partner want to be..may be u can act for the first 6 months and then u will be exhausted, and once you are exhausted you will start to show who you real are and there starts the problem ... but I think it is easy to be who you are and learn to accept each other flaws.. when you love someone you will be ready to accept the whole parcel..and try to work around each other's worthless, junky, crappy bits....Kwa upande wangu huwa natamani kuona kama nafsi za wahusika wote wawili zina amani. Kwa hiyo anza na kama upendavyo ila mwishi wa siku ni kuangalia jinsi mnavyopenda. Hii ina-base kwenye fact kwamba 2 have became 1 and longer 2!
Hii kitu mimi naona kuwa ni so much conditional...! What if mwenzio akakushauri uvae T-shirt Mbeya usiku, na wakati wewe ni mtu wa Dar? Au akakushauri uvae jacket Kariakoo, wakati wewe umetokea Ngorongoro? Bila shaka mtapisha tu! Au inakuaje kama mwenzio ni mwanamitindo, tofauti nawe, lakini akakushauri uvae vile...! Bila shaka ni vigumu kukop naye. Lakini pamoja na hayo, naye ana nafasi kubwa sana, japo kwa kuzingatia comfort-ability yako. Hata hivyo naye hutoa mapendekezo tu, na sio masharti...!
why not mie ntavaa T-shirt ya mbeya hata kama mimi ni mtu wa mwanza...kama kuvaa hiyo t-shirt will make him happy.. as long as I dont have to wear it everyday!!! sidhani kama atataka nivae kila siku....Hii kitu mimi naona kuwa ni so much conditional...! What if mwenzio akakushauri uvae T-shirt Mbeya usiku, na wakati wewe ni mtu wa Dar? Au akakushauri uvae jacket Kariakoo, wakati wewe umetokea Ngorongoro? Bila shaka mtapisha tu! Au inakuaje kama mwenzio ni mwanamitindo, tofauti nawe, lakini akakushauri uvae vile...! Bila shaka ni vigumu kukop naye. Lakini pamoja na hayo, naye ana nafasi kubwa sana, japo kwa kuzingatia comfort-ability yako. Hata hivyo naye hutoa mapendekezo tu, na sio masharti...!
Kwanza najipenda mie kama mie ..najua style zinazofanya nijione nimependeza na kujiamini hata pale nitakapotoka..hivyo basi alinipenda vile ninavyojipenda mwenyewe na siku zote anaridhishwa na uvaaji wangu. kwa vile sasa anajua style zangu hata akiniletea dhawadi zinaendana na vile nipendavyo..
Tunaongea Lugha moja
why not mie ntavaa T-shirt ya mbeya hata kama mimi ni mtu wa mwanza...kama kuvaa hiyo t-shirt will make him happy.. as long as I dont have to wear it everyday!!! sidhani kama atataka nivae kila siku....