Uvaaji wetu!!

Pretty

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
2,579
Reaction score
575
.......Wana JF nadhani mpo salama, leo nimeona si vibaya kuongelea mavazi haswa yanayoendana na umbo lako.

Kuna hii tabia haswa kwa wanawake wenzangu unajua kabisa tumbo lako limelegea na wewe unataka kuvaa kutokana na fashion, kwa nini usitafute shapewear?
.....Wearing clothes that are too tight lead to bulges and lumps....... sasa kama huwezi vaa nguo pana, basi vaa shapewear (spanx) ili uhide hiyo tummy bulge yako.

Na kuna wanaume nao kitambi kuleeee lakini anavaa shirt wala sio size yake, akifunga vifungo vinaacha nafasi tumbo linaonekana......... halafu ndani havai hata under wear tshirt ili afiche tumbo.

Hebu ngoja niishie hapa, bila hivyo nitajaza kurasa hapa. Sorry kama kuna mtu atakwazika ila ukweli ndio huo, kama huwezi fanya mazoezi ili upunguze tumbo au kulikaza basi jifunze kuvaa shapewear/spanx, ili uonekane nadhifu.
 
hiyo elimu ya mavazi kwetu sisi Afrika hakuna, mtu anavaa kutokana na hisia zake na kumuiga flani kavaa nini bila kuangalia umbo la mwezie. Kwa wanawake hasa wamijini wametawaliwa na mashindano vichwani mwao anataka kuvaa kumshinda fulani, kwa watu wa vijijini ili mradi mwili usitirike. Ni hayo tu nitarudi baadae
 
Hahaah....wasipoonyesha utajuaje wanayo?

Mi siwezi aise. . sitojisikia amani kabisa. Sema kuna watu ndio wamejikubali hivyo, wamezoea na hawajali!!
 
Kuvaa kuendana na mwili na shepu yako inahusu. Ila pia kuna watu hawajali wengine wanawaonaje ili mradi wao kwenye nafsi zao wameridhika na walichokivaa. Manake ukitaka kuvaa kwa kadri mtu mwingine apendavyo uvae basi unaweza usivae nguo kabisa.
 
Hahaah....wasipoonyesha utajuaje wanayo?

Mi siwezi aise. . sitojisikia amani kabisa. Sema kuna watu ndio wamejikubali hivyo, wamezoea na hawajali!!

........Hata kama wamezoea inabidi wabadilike, haswa nikimkuta mdada mwenzangu akijiachia tumbo kiasi hicho najisikia vibaya,
 
mmh point hii kwakweli.
jaman especially wadada yan mtu tumbo kule afu linamapingilia kibao afu anavaa top tena ya mpira imembana mmh. ukimuangalia had kichefuchefu mmh kweli waache aisee.
na wao wanakuwa hata hawako comfortable bt kwenda tu na fashion anavaa mmh na kuonekana kituko kwakweli.
bora ukavaa nguo inayoendana na ww na ukawa comfortable.
 
Tatizo uigilizi umezidi sana bongo.Ukiona kwenye tviiii rihana kavaaa kiguo basi kila mtu anataka.hata kuna msuko wa nywele unaitwa rihana hii yote kuigaiga
 
.........umeonaaaa ehehehhehe!!! Eti kichefu chefu lol.
 
Kuvaa kuendana na mwili na shepu yako inahusu. Ila pia kuna watu hawajali wengine wanawaonaje ili mradi wao kwenye nafsi zao wameridhika na walichokivaa. Manake ukitaka kuvaa kwa kadri mtu mwingine apendavyo uvae basi unaweza usivae nguo kabisa.

Kuna watu wanaotaka/penda wenzao wasivae nguo?
 
........Hata kama wamezoea inabidi wabadilike, haswa nikimkuta mdada mwenzangu akijiachia tumbo kiasi hicho najisikia vibaya,

Ni ngumu kumtaka mtu abadilike wakati mwenyewe karidhika ama anaona poa. We angalia, tabasamu alafu potezea.
 
Kuna watu wanaotaka/penda wenzao wasivae nguo?

Katika dunia yenye watu karibu bilioni 7 huwezi jua...huenda wapo.

Ushawahi kwenda kwenye nude beaches wewe? Au unamjua mtu ambaye ni nudist?
 
Katika dunia yenye watu karibu bilioni 7 huwezi jua...huenda wapo.

Ushawahi kwenda kwenye nude beaches wewe? Au unamjua mtu ambaye ni nudist?
Hahahaha kama wapo basi wana mambo.

Ohhh yeahhh kuna beach fulani hivi kulikua kuna kasehemu wametengewa wakatembeze kengele huko wakati wengine tupo upande wa chini. It's kinda funny!!
 
Ni ngumu kumtaka mtu abadilike wakati mwenyewe karidhika ama anaona poa. We angalia, tabasamu alafu potezea.
........I know ni ngumu, ila huu ulikuwa kama ushauri hivyo mtu anaweza chukua au akaamua kupotezea.
 
Tatizo uigilizi umezidi sana bongo.Ukiona kwenye tviiii rihana kavaaa kiguo basi kila mtu anataka.hata kuna msuko wa nywele unaitwa rihana hii yote kuigaiga

........sasa mwingine hadi ofisini anavaa hivyo, na wakati ni sehemu unayotakiwa kuonekana nadhifu.
 
Waendelee tu, mie zamani sikujua kuwa wanawake nao wanavitambi. Na tutajua mengi tu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…