Uvaaji wa Magwandwa imekuwa ni fasheni?

Fashion huja na kupotea na kurudi, uvaaji wa magwanda labda vijana wa leo ndio mtaona kuwa ni fashion mpya, wazamani twayajua sana na tulikuwa tukiyaita "safari suit".

Cha kukatisha tamaa ni kwamba kwingine huitwa "gays suit". Haya, wavaaji muelewe!
 
Lakini John Heche, kazidi sijawai kumuona hata siku moja kavaa nguo zingine tofauti na Magwanda
 
Back
Top Bottom