Uvaaji wa Bikini unazeesha sana na haraka Uke

Ninachoweza kuchangia kwa hili la uvaaji wa bikini ni uwezekano mkubwa wa kupata UTI.

UTI huambukizwa sana na uchafu wa kinyesi ukiingia njia ya mkojo. Anayevaa bikini, kile kipande chake huingia na kusugua sehemu za haja kubwa na ndogo, kutwa katika mihangaiko na mishughuliko ya aliyevaa. Uwezakano wa uchafu wa sehemu hizo kuingiliana ni mkubwa sana.
 
Mwanamke akivaa hizo Bikini huacha sehemu kubwa na hewa kupita kiurahisi na hata Bacteria huweza kupenya kirahisi hivyo kuziathiri Mbunye kwa kiasi kikubwa sana.
Nawasilisha.

Kwa hiyo na ambao hawavaagi kabisa wanaiacha wazi nao wapi kwenye hilo tatizo?
 
Zinadisturb hatari kwa wenye makalio yao lakini

Cc Smart911
Mtoa mada hii topic kaiongelea zaidi vile anavyopenda yeye mwanamke avae...

Kama ni utamu wa mwanamke wala hausababishwi na aina ya chupi anayo vaa, ni vile anavyojiweka...


mahondaw wangu you are super sweet from the outside to the inside coz you know how to handle Smart911
 
Back
Top Bottom