Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Saana tu. bado wale wataalamu wa kuandaa mdahalo...ambao wanapendekeza kunywea chai...Tutaproduce zero hadi tukome!!!!!!!!!
Saana tu. bado wale wataalamu wa kuandaa mdahalo...ambao wanapendekeza kunywea chai...Tutaproduce zero hadi tukome!!!!!!!!!
Ni mara kadhaa 2 nimekuwa nikiona hawa dada zetu, uvaaji wao wa kanga sio kabisa, cause wanazibana mno tena maksudi nasema hivyo kwa kuwa nishawaotea accidentally kama wawili hiv wanafungua kidogo kisha kuibana madhubuti kama anahis hakuna anayemwangalia. Nauliza hv kwa nn?