M mrlonely98 Member Joined Nov 6, 2009 Posts 99 Reaction score 29 Aug 26, 2012 #1 asalaam wana jamii, zile uv light za kucheki kama hela ni original au fake nitaipata wapi.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,645 Reaction score 7,123 Aug 26, 2012 #2 nenda Masumin kama upo Dar
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,556 Aug 26, 2012 #3 Mkuu nenda mitaa ya nkurumah street .... tafuta brand ya PHILIPS original ... wachina wameshaingiza zakwao za fong kong
Mkuu nenda mitaa ya nkurumah street .... tafuta brand ya PHILIPS original ... wachina wameshaingiza zakwao za fong kong