Habari wanaJF,
Fursa kwa wale wenzangu na mie wenye nywele za dread locks, jamani ni dili sikuhizi zinauzwa mie nimesikia tu lakini. Nataka kuuza zangu nikipata mtu wa kufikia dau zuri.
Niambieni wanaJF kama hii mambo ni ethically right kuuza nywele zako?