Borntkkasu
Member
- Feb 22, 2019
- 68
- 51
Duuuhw unakosa utamu Those days Advance aseeeh kande ulkuwa unajaza kwenye handaki zako zote ulizonazo.. unaipga ijumaa mchana jioni asubuhi na pora afu mida ya sa8 kabla ya lunch ile unareview reactions za Organic chemistry huku unamalizia kande zako... kande oyeeeeeeehkande
Bora nipige dash..sizipendiDuuuhw unakosa utamu Those days Advance aseeeh kande ulkuwa unajaza kwenye handaki zako zote ulizonazo.. unaipga ijumaa mchana jioni asubuhi na pora afu mida ya sa8 kabla ya lunch ile unareview reactions za Organic chemistry huku unamalizia kande zako... kande oyeeeeeeeh
Typed Using KIDOLE
Tamu hataree..Nakula hadi mbegu nazichemshaFenesi
Njugu mawe.NI CHAKULA GANI HUEZI KULA HATA UWE NJAA VIPI?
MIMI NI *CHIPS.*
Kitimoto
wewe ni muislamu ? kama sio,pole sana mkuu unakosa utamu, mnyama huyo ni mtamu kinoma, mimi hua mchana napiga nusu na ndizi tano, usiku pia nusu nyingine nashushia na soda
Kakaake juzi ulinisalimia mitaa fulani nilivyotaka kujibu nikakuta holaa, uko mzima?wali ndondo
Umenikumbusha utotoni,tulikuwa tunazikusanya hizo kuzichemsha tunazikalia kuzilaTamu hataree..Nakula hadi mbegu nazichemsha
aiiii nilifikiri umeamua kunichuniaKakaake juzi ulinisalimia mitaa fulani nilivyotaka kujibu nikakuta holaa, uko mzima?
Naanzaje sasa kukuchunia kakaaiiii nilifikiri umeamua kunichunia
sijui kwann nilifikiria hiviNaanzaje sasa kukuchunia kaka