Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 948
- 1,093
Hello!
Naomba kuuliza vijana mlio na uwezo wa kuunda magari au pikipiki, hivi hamuwezi kuunda hivyo vyombo vya moto kwa bajeti ndogo mfano Tsh.500,000/= mpaka Tsh.2,000,000/= hivi??
Undeni bwana ziwasaidie watu vijijini na baadhi ya mijini, mbona nchi za Asia wanafanya!!
Please, kama mnaweza fanyeni kitu. Kuhusu usajili na mambo ya ubora nk itajulikana mbele kwa mbele