Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,618
- 3,743
Sasa kama hiyo pikipiki hapa bongo inauzwa milioni mbili kwa pesa zetu za madafu pamoja na kodi za tra plus usafiri mpaka kuifikisha hapa huko China bei ya jumla imeuzwa sh.ngapi na je gharama ya kuitengeneza kiwandani imecost sh.ngapi fikiria upya wazo la huyu mtuUunde pikipiki kwa gharama ya laki 5!! Hayo material ya kufanyia hiyo kazi amekupa nyanya yako!
Gari uunde kwa million 2![]()
brother kuwa serious na uundaji.