Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 14,000
Nani alisema uume ni pesa?
Hutaki majukumu afu unataka uwe kichwa? Wanchekesha!!
Baadhi ya wanawake na wasichana wanaathirika na kuamini kila mwanaume ana pesa,hivyo huwa hawaamini pindi mwanaume anaposema hana pesa.Maisha ni kusaidiana tangu Enzi za Adamu na Eva,ila siku za karibuni imejitokeza tabia ya UTEGEMEZI uliokubuhu toka kwa KE kwenda kwa ME.Majukumu ya ME katika familia yanajulikana ila mengine ni TOO MUCH...Mara salon,mara gari,mara holiday DUBAI,huku yeye KE akiwa hachangii chochote hapo utasema ME kama kichwa cha familia/mahusiano ataweza kumudu ikiwa uwezo wake ni MDOGO kifedha..??
nani alisema uume ni pesa?
Hutaki majukumu afu unataka uwe kichwa? Wanchekesha!!
kwa nini usitafute wa mithili yako? Umelazimishwa? Tafuta anaye taka kula,kulala na kuvaa basi! Haendani na fashion wala hataki luxury needs!
Tuwe wakweli mwanamke akiwa rafu unaweza kumpenda eti kisa ana papuchi? wewe unamfuata kwa sababu ya urembo wake! na ili a-maintain urembo huo ulioupenda ni lazima ajirembe kama ulivyo mkuta, na urembo ni gharama jamani! kama ulitaka papuchi tu basi tafuta mwnamke anaye taka utamu wako tu na wewe utamu wake tu!
Unaingia mahusiano na mrembo lazima msaidiane kumentain kitu mnacho kipenda wote (ur common interest) sasa unataka aghalimike yeye tu huku na wewe unapenda awe hivyo? usikwepe majukumu yako ndio yalikuleta hapa duniani take easy sawa ndugu?
Mtazamo wa siku hizi; MKE MWEMA
HUTOKA KWA MUNGU lakini MUME
BORA HUTOKA NMB, CRDB, NeBC, TRA,
BOT,SACCOS, M-PESA, TIGO PESA,
AIRTEL MONEY na kwingine
kunakohusiana na money money.
Baadhi ya wanawake na wasichana wanaathirika na kuamini kila mwanaume ana pesa,hivyo huwa hawaamini pindi mwanaume anaposema hana pesa.Maisha ni kusaidiana tangu Enzi za Adamu na Eva,ila siku za karibuni imejitokeza tabia ya UTEGEMEZI uliokubuhu toka kwa KE kwenda kwa ME.Majukumu ya ME katika familia yanajulikana ila mengine ni TOO MUCH...Mara salon,mara gari,mara holiday DUBAI,huku yeye KE akiwa hachangii chochote hapo utasema ME kama kichwa cha familia/mahusiano ataweza kumudu ikiwa uwezo wake ni MDOGO kifedha..??
Shida ni kwamba leo utapata KE wa kawaida sana ila baada ya muda na yeye anataka kufanana na wengine wa high classic life.Unasikia wabunge wastaafu wanalamika maisha magumu baada ya kustaafu ubunge hiyo yote inachangiwa kiasi kikubwa na hawa KE waliozoea luxury life wakati ME wapo mjengoni.Life has change.so hata kama leo unavijisenti vyako usifikiri unaguarantee ya kuwa navyo milele.Wwatch out..!@!Kwa nini usitafute wa mithili yako? umelazimishwa? tafuta anaye taka kula,kulala na kuvaa basi! haendani na fashion wala hataki luxury needs!
Hakuna mtu mwenye kuarantee ya PESA,sembuse wewe na hao wenzako wenye vijisenti..? Fikiria wabunge wastaafu wanavyolia sasa maisha magumu,yote hiyo imetokea kutokana na kuzoesha UJINGA katika matumizi yasiyo ya lazima kwa KE wao,leo hii wamegeuka matonya ili tu wapate vijisenti vya kuwaridhisha KE wao,usijikweze kwa kuwa una vimilioni kadhaa..Kumbuka siku vikiyeyuka je utaendelea kuwa na huyo KE wako..Kikubwa hapa sizungumzii mahusiano ya short time nazungumzia maisha ya future kati ya ME na KE..!@!kama yeye hawezi awapishe watu na hela zao bwana
Ndio maana tulikua analog sasa tuko digital, ulikuwa, mtoto sasa ni kijana bila kusahau utakuwa mzee baada ya umri wa makamo!Shida ni kwamba leo utapata KE wa kawaida sana ila baada ya muda na yeye anataka kufanana na wengine wa high classic life.Unasikia wabunge wastaafu wanalamika maisha magumu baada ya kustaafu ubunge hiyo yote inachangiwa kiasi kikubwa na hawa KE waliozoea luxury life wakati ME wapo mjengoni.Life has change.so hata kama leo unavijisenti vyako usifikiri unaguarantee ya kuwa navyo milele.Wwatch out..!@!