kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,071
- 1,428
Wakuu, happy Mapinduzi day,
Imani yangu ni kuwa mnaendeleaa vizuri na shughuli zenu,
Wakuu naombeni niwasilishe hili mbele ya wadau wangu wa JF, mnipe mawazo na ushauri wenu maana, naona inaniwia vigumu.
Ni hivi, in short mimi nimejaaliwa sana sehemu zangu za siri, huku nyie mwaita msolopaganz, mara mkuyange, lakini watoto wa kike huita mashine.
Kwanza kabisa nikikutana na mwanamke yoyote ninayempenda au niliye na hisia naye, unakuwa vigumu kuzuia hisia kwani mshipa hutokeza kwa trouser na mara nyingi wamekuwa wakinicheka na kuniita borodinda.
Ninapokuwa na washikaji au wasichana tukipiga story za mapenzi huwa naishia kujibana miguu kwanii shina hua linasimama sana, nimejitahidi kuvaa boxer za kubana lakini imeshindikana wakuu.
Mara nyingi sana kila nikikutana na mwanamke katikati ya shoo huanza visingizioo vya kuumwa tumbo au kichwa ili kuahirisha mechi, nimekuwa nikipata shida kwa vibinti. Nikasema ngoja nijaribu kwa ma Bigg mammy lakini wangi wamekuwa wakinikimbia.
Wakuu nashindwa kujizuia hisia zangu mnisaidie dawa gani nitumie kupunguza, au nivae nguo gani ili hata nikitembea kisicheze kwenye suruali.
NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU ILI NA MIMI NIISHI KAMA NYIE.
Wasalaaam