Mazoezi ya KEGEL ni Aina gani ya Mazoezi??Haina msaada wowote kama uume hauna nguvu kama ni mgeni kwenye maswala ayoo basi ataingia mkenge ila wazoefu tunajua shida ni misuli ya mboo imelegea kwaiyo ata akipaka vumbi bado shida itakuwa kwenye kusimama mboo kisawasawa ili ipitee kwenye uchi
Vumbi linakusaidia kuchelewa tu kumwaga wala siyoo kusaidia uume kusimama vizuri.
Njia nzuri ya kurudisha nguvu ya uume ni mazoezii hasa mazoezi ya kegel yafanye wiki mbili tu misuli ya uume itaanza kurudi polepole ndani ya mwezi utapata matokeo sahihi kabisaa
Mazoezi ya KEGEL ndo yapi hayo mkuu?Haina msaada wowote kama uume hauna nguvu kama ni mgeni kwenye maswala ayoo basi ataingia mkenge ila wazoefu tunajua shida ni misuli ya mboo imelegea kwaiyo ata akipaka vumbi bado shida itakuwa kwenye kusimama mboo kisawasawa ili ipitee kwenye uchi
Vumbi linakusaidia kuchelewa tu kumwaga wala siyoo kusaidia uume kusimama vizuri.
Njia nzuri ya kurudisha nguvu ya uume ni mazoezii hasa mazoezi ya kegel yafanye wiki mbili tu misuli ya uume itaanza kurudi polepole ndani ya mwezi utapata matokeo sahihi kabisaa
Tatizo la nguvu zakiume ni more psychological kwa upande wa kuto simamisha au kutosimamisha round ya pili ila sio kwenye kusimamisha legelege hilo ni more physical problem hata uwe psychological stable vipi itakuwa legelegee tu hapo inahitajika physical solutionsUkosefu wa nguvu za kiume ni more of psychological. Itibu fikra yako na ujiamini kwamba uko sawa. Ukijiwekea akilini kwamba una tatizo ndio unaongeza tatizo.
Wapo wanaopiga nyeto huu mwaka wa 20 na show wanapiga kama kawa. Mmojawapo ni mimi.
Atapona au bado itaendeleaDogo umeupiga mwingi 2014-2023
Ok acha kabisa punyeto, anza kufanya mazoez angalau kilasiku dk30 au 1hr Jitahid mazoez haya sio chini ya miezi 6 au Mwaka, acha kuangalia picha za ngono, kula matunda na vyakula visivyo na mafuta mengi, kula sana tangawizi na matikit mbege za maboga au vitunguu swaumu... baada ya mazoez ya mwez mmoja anza kufanya ngono (performance itakua mbovu usihofu) ila hakikisha baada ya hapo angalau kwa mwezi unafanya ngono isipungue ×3. Wakati wa kufanya ngono punguza presha papara muandae muda mrefu mpenz wako angalau dk15 then endelea...
Kushinda giza, karibisha nuru. Hii ndio njia simple ya kuacha tabia yoyote mbayaMimi nimeanza 2010 mpaka leo nimeshindwa kuacha.Na upo legelege.Huu mchezo sio mzuri Vijana wanaobalehe wanatakiwa wafundishwe BIla kuonewa aibu kusema sijui maadili yatavunjwa.Kama elimu ya UKIMWI ilivyotolewa na Kila mtu yupo makini Sana basi na elimu ya Kujichua itolewe Kwa Vijana wanaanza kubalehe.
Ubaya wa punyeto ukishamaliza kujichua majuto yanaanza.Kuna wakati unatamani Bora ufe au ujiue.
Kwa hiyo umeanza nyeto na miaka 14 dah!Nina miaka 23
Hivi na mwanamke akipiga puli mda mrefu haimdhuru kabisa??Puli miaka 9[emoji3166]
La haulaaah
Hisia kwa mwanaume zinapungua, hamu yote kwenye Puli ambapo anapata full satisfaction.Hivi na mwanamke akipiga puli mda mrefu haimdhuru kabisa??
Anapona kabisa... Maana akiacha puri na kufuata hayo maelekezo ile misuri iliyosinyaa kwasabab ya kusuguliwa na mkono inarudi ktk uimara wake...Atapona au bado itaendelea
Uyu apewe ukatibu uenezi kabisaPuli miaka 9[emoji3166]
La haulaaah
[emoji23][emoji23]Uandishi mbovu na lugha mbovu, hii inatia shaka hata kwenye ukweli wa kisa/tatizo lako.
huyo anapigaje nyeto au anapinya mishipa kwa nguvu za hali ya juuu watu tunapiga nyeto toka 2001 hadi leo inshu ndio inazidi kukomaa kusimama dedeUkosefu wa nguvu za kiume ni more of psychological. Itibu fikra yako na ujiamini kwamba uko sawa. Ukijiwekea akilini kwamba una tatizo ndio unaongeza tatizo.
Wapo wanaopiga nyeto huu mwaka wa 20 na show wanapiga kama kawa. Mmojawapo ni mimi.