Uume hausimami nyumbani

Uume hausimami nyumbani

huna tatatizo lolote wewe ndo unayosababisha hayo kwa kuhamishia akili yote nyumba ndogo,maswala ya mapenzi yanabebwa zaidi na akili, ila ushauri achana na nyumba ndogo utaisambaratisha familia yako sasa hivi, inaonekena wewe ni mtu wa wengi,basi kuwa yule mtu wa hapo kwa hapo hamjuani tena!
 
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?

Dawa nyingine wakati ukiwa na mkeo mnakula mate kujiandaa basi akutie dole m.k.u.n.d.u.n.i, lazima utasimamisha
 
Achana na nyumba ndogo, rudi kwa mkeo, tenga muda kwa ajili ya ndoa yako na Mungu atakupa nafasi nyingine katika maisha yako.
 
kuna shida katika ndoa yako,au mafarakano au mke wako amekosa mvuto kwako kushidwa kukusisimua kimwili.jaribu kukaa chini kisha tafuta shida hiko wapi katika ndoa yako kisha tatua tatizo..

Pia jaribu kutoka outing na mke wako kisha fanyeni mazungumzo ya kimapenzi wenyewe mkiwa nje kisha chukua hotel nzuri nenda na mke wako mfanyie surprise kisha angalia kama game alitokwenda au namna gani?usiingize habari za matatizo au mambo mengine siku hiyo zaidi ya mapenzi tu..

Pia ujue msingi mkubwa wa ndoa ni UVUMILIVU. Iwapo nyumba yenu ina matatizo tafuta suluhisho wakati huo huo jipe faraja kwa kuona yanayotokea kwako ni ya KAWAIDA. Hiyo itapunguza MSONGO (stress) jambo ambalo ni janga kubwa katika mahusiano. Stress inaweza sababisha Pressure kupanda bila kujijua ambayo automatically itasababisha uume kutosimama. Ni vema pia ukipima pressure yako likewise Cholestrol level.
 
Hii kitu imenitokea mim ..nimefunga safari hadi dom kwa mke wangu lakin sikuchaji ...niliporud kwa king'amuzi changu yani hata sijafika tu kwake njia nzima mm nmechaji
 
dah hii ishu inatokeaga wengi mkuu..mimi piaa ilishawah kunotokea..nadhan mara nying insbabishwaa n akili zaid kuliko mambo mengine..wake zetu sbb tunaonana nao daily inafik hatua tunawazoeaa sana...ushauri wa wadau hapo juu..jitahd kutengenez mazingiraa rafiki ..no stresss kbsaaa..n with time utapona tu
 
Sio kweli,unaweza ukawa unafanya kazi mbali na mkeo yaani mkoa au wilaya tofauti,na huko unakofanyia kazi uko na mchepuko ambao unaishi nao Kama mkeo,unapika na kupakua,na unaweza ukakaa hata miezi mitatu hujaonana na mkeo,lakini bado ukienda kwa mkeo unakuta imegoma kabisa inabidi uanze kumeza panadol kusingizia homa
 
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?
Hayo mambo mbn kama ya fatema wa kule kaskazin mashariki!?

Muache huyo kiongoz atakutia uhanithi shauri yako.
 
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?
Hii niliona Instagram Kuna mdada mmoja alikua anafundisha wengine namna ya kumfanya mwanaume uume wake usisimame kwa wanawake wengine isipokua kwake tu. Sasa kumbe ninkweli kabisa
Bro it's simple Kuna kitu amekufanyia huyo mdada and it's very simple. Hapo huchomoki mpaka upachimbe la sivyo huna ndoa tena
 
Hio inaitwa kata funuwa,ulivopiga bao la kwanza kwa huyo mchepuko wako,akaipitia hizo sperms zako kimyaaa kimyaaa,akaenda kukata na kufumua
Haita simama sio kwa mkeo tu hata kwa wanawake wengine,isipokuwa huyo huyo king’amuzi wako
 
Back
Top Bottom