Uume hausimami nyumbani

Sex is not what is in btn our legs but what is in our heads. Ukisha mtoa thamani akilini basi jamaa hawezi kufanya kazi hata kidogo. Ndio maana kuna watu wanafanya mapenzi na watu wengine kisha kuwataja wengina maana ndio wanaowa feel. Mrudishe mkeo akilini then jamaa atarudi kazini. Vinginevyo jiandae kupigiwa na hungry wolves wanaosubiri nje.
 
Matunda ya uzinidu na mchawi ni wewe mwenyewe kwa kuamua kusaliti ndoa yako.Hapo utakuwa umeshabebeshwa majini mahaba kiasi kwamba mke wako anakuwa hana mvuto tena kwako.Tubu, geuka achana na huyo kimwana na fanya maombi ya kukufungua kutoka kwenye mapepo au majini
 
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?

hako kaking'amuzi ndio kamekung'amua
na wewe subiri umegewe mkeo,c uliona
fahari kua na king'amuzi?faida moja wapo ndio hiyo!!
 
siku si nyingi atakua
mwanaume jina,ye aendelee
na king'amuzi,mke hamsisimui y alimuoa?
hana lolote kuendekeza nyumba ndogo hiyo ndio faida!!
inakera sana,wanaume tulieni na wake zenu khaaaaa!!
 
Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?

Tayari ameshakuloga huyo, waone wazee wakusaidie.
 
umefungwa bila wewe kujua, achana na hicho unaita king'amuzi kabla hujang'amuliwa , tubu onana na watumishi wa Mungu wakuombee utoke kwenye hicho kifungo maana mwisho wake ni majuto.
 
Ugonjwa? Ahahahaaaaa, usinichekeshe mie, ushatengenezwa hivyo, kifuatacho ni ugomvi na mkeo baada ya hapo unamrudisha kwao kupumzika ndoa nitolee hivyo.
Ushauri wangu achana na king'amuzi mrudie Mungu wako na umuombe msamaha mkeo plz!

Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?
 
Pole sana kibiriti ngoma, kilichotokea ni kwamba huyo king'amuzi ndo kakuharibu tena si mtu mzuri kabisa.

Amekufanyia uchawi na kuna uzi kaufunga sehemu pamoja na majimaji yako. Sasa hapo hakuna dawa ni kuchukua kisu umtokee atakwambia ukweli wote tu.
 
angalia kaka usije ukaugua na ugonjwa ukifika kwa mkeo pochi halifunguki linafungukia kwa ki......
 
hako kaking'amuzi ndio kamekung'amua
na wewe subiri umegewe mkeo,c uliona
fahari kua na king'amuzi?faida moja wapo ndio hiyo!!
Na ole akutane na wanaovyatua matofali ya bloku vifuani AU wanaoendesha mikokoteni toka posta hadi kimara kila siku, ndo itakuwa imetoka hiyo..
 
hichom king'amuzi kimetoka mkoa gani ili na mimi nichukue tahadhali maana nafukuzia cheupe toka kondoa isije ikawa ni mitaa ya huko
 
Unapiga vitatu kabla ya kufika nyumbani unadhani utasimamisha kitu kaka
 
Back
Top Bottom