kuna shida katika ndoa yako,au mafarakano au mke wako amekosa mvuto kwako kushidwa kukusisimua kimwili.jaribu kukaa chini kisha tafuta shida hiko wapi katika ndoa yako kisha tatua tatizo..
Pia jaribu kutoka outing na mke wako kisha fanyeni mazungumzo ya kimapenzi wenyewe mkiwa nje kisha chukua hotel nzuri nenda na mke wako mfanyie surprise kisha angalia kama game alitokwenda au namna gani?usiingize habari za matatizo au mambo mengine siku hiyo zaidi ya mapenzi tu..