Imefungiwa jioni hii itakuwa Asubuhi ilikuwa inaonesha tutafute hela aseeKifupi Azam TV wamefungia UTV sio Bure Tena, tafadhali msije mkafungia na local channel nyingine mtaua bendi.
Imefungiwa Leo, nimefunga Dish Leo na ndio tulikuwa tunaitestiaKifupi Azam TV wamefungia UTV sio Bure Tena, tafadhali msije mkafungia na local channel nyingine mtaua bendi.
😂♻️😁Nimeona nikapotezea nikafkiri wamejichanganya kumbe ndio imeisha hvyo.
Wafike Bamaga StarTimesWatumiaji wa azam mnawarithi wa dstv malalamiko
Naam huku hakuna lawamaWafike Bamaga StarTimes