IRAN Ipi
Mkuu hapa unatakiwa uelewe yakwamba IRAN Anawaunga mkono wakurdi ila Haungi mkono uwepo wa taifa la jamii ya wakurdiBwana utam natambua Iran hana chochote cha kumfanya apambanie hii ni kwa sababu hana masirahi yeyote kwa pande ueyote atayojiunga nayo ,Maana Wakurdi wanaoungwa mkono na Marekani iran hapatani na marekani na hawezi kuunga mkono Wakurdi, vile vile Iran anaweza tu kujitokeza hapa kwa sababu ya kuwa Yeye ni mshirika wa Karibu na Asad(Syria) ikishirikiana na Russia ambayo pia Russia ni mshirika wa karibu na Turkey, kwa hiyo Iran inaweza tu kujihusisha kwa mantiki ya huo ushirika.
Kwa mtazamo wangu Iran akijichanganya hapa yawezekana ikawa ni mwanzo wa marekani na allias zake kama Saudi, Izrael na baadhi ya inchi za umoja wa Ulaya zikapatia sababu ya Kuishambulia Iran. Japo sioni Masirahi ya msingi kwa Iran kujiingiza katika huu mzozo.
Mbona umemalizia as if kuondoka kwa Marekani ni kwa kuogopa kushambulowa na hao Turkey. Pleas, recheck your factsIran hana uhasama na wakurdi tena iran ndo ilikuwa ya kwanza kuwapelekea silaha wakurdi wakati isis walipokaribia kuteka maeneo yao kabla marekani nae hajaja kutoa msaada,
lakini hata hivyo iran,iraq,syria na Turkey wana common interest ambayo ni kuzuia uwepo wa taifa kamili la Kurdistan kwani kila nchi katika hizo ina population ya wakurdi,
uvamizi wa Turkey kaskazini mashariki mwa syria ni habari mbaya kwa marekani ,israel na saudi arabia kwani walitaka kuwepo kwa taifa huru la kurdistani ili kuzigawa nchi tishio kwao ambazo ni iran,iraq,syria na Turkey,
hali hii inawawia vigumu wamarekani kumsaidia mkurdi kwani anajua Turkey sio nchi ya wasiwasi kijeshi na wamarekani pia hawataki kuanzisha vita na mwanachama mwenzao wa NATO,ndo maana Trump aliamua kuondoa askari wake kupisha uvamizi
mpango wa kuunda nchi mpya ya levanter ulibebeshwa ISIS,wamesambaratishwa..hapo trump anatafuta tu kura maana aliahidi kuondoa majeshi vitaniKuna mchongo unatengenezwa hapo. Turkey should be careful, maana alipoambiwa ajianda kwenda kushika doria kaskazini mwa Syria, pi alionywa kuhusu kutowagusa hao Wakurd kwa namna yoyote ile.
Huu mtego Uturuki hataukwepa na hapo ndiyo sehemu za nchi za Syria, Irak na Uturuki lazima zitamegwa ili kuunda nchi ya Wakurdi.
na ndio mana anapambana nae kwa silaha. Nahisi kuna njama za kuwarudisha ISIL. USA bado hajaridhika kushindwa kumuondoa Assad.Suala la wakurdi kua na silaha wala sio labahati mbaya na ndio turkey ana pambana kwa kila namna na hao jamaa yaani kwa mali na hali
Hebu shusha zakoMbona umemalizia as if kuondoka kwa Marekani ni kwa kuogopa kushambulowa na hao Turkey. Pleas, recheck your facts
ok,basi hata israel anavyowapiga hamas na hezibulah ni sawa kabisa,ni magaidi wale acha israel aendelee kuwapa kichapo,nimekupata mkuu..Mkuu hizi habari .nadhani umezitoa kichwani mwako..suala lililopo kuwa Uturuki inawaona SDF na YPG kama magaidi( wana mifungamano na PKK) na wakati huo Marekani inawatumia hao wakurd katika vita dhidi ya IS .
Sasa urafiki wa Marekani na Wakurd ilikuwa ni kwa ajili ya operation dhidi ya IS na si vita dhidi ya Jturuki( kwa ushahidi msemaji wa Wakurd leo ameweka wazi)...
Uturuki inawaona YPG&SDF kama magaidi kutokqna na sababu za kisiasa..wakati Marekani nayo Inawaona IS,THS,na Miongoni mwa TFSA kama magaidi au wengine ni Moderate.
Ndio Maana SDF &YPG wana uadui na TFSA na hao Wanaojiita National army(including FSA) lakini hawana uadui Sana na Assad Government...
Mkuu hii operation ni kwa mujibu wa Sasa z Utuuki na si zaidi kama unavyotaka kutuaminishq...
Lejea operations za nyuma za u
Uturuki nchini Syria ( olive branch na Euphrate shield) hata hao unawaamini Russia walijarubu kutaka kuwazuia ila wakaghaili na kuwa acha Uturuki free.
Soma zaidi ..kuliko kutoa perception zisizo na ushahidi..
Hii ni ndoto won't happenKuna mchongo unatengenezwa hapo. Turkey should be careful, maana alipoambiwa ajianda kwenda kushika doria kaskazini mwa Syria, pi alionywa kuhusu kutowagusa hao Wakurd kwa namna yoyote ile.
Huu mtego Uturuki hataukwepa na hapo ndiyo sehemu za nchi za Syria, Irak na Uturuki lazima zitamegwa ili kuunda nchi ya Wakurdi.
Hongera mkuu ,good analysis as if you're middle East think-tankIran hana uhasama na wakurdi tena iran ndo ilikuwa ya kwanza kuwapelekea silaha wakurdi wakati isis walipokaribia kuteka maeneo yao kabla marekani nae hajaja kutoa msaada,
lakini hata hivyo iran,iraq,syria na Turkey wana common interest ambayo ni kuzuia uwepo wa taifa kamili la Kurdistan kwani kila nchi katika hizo ina population ya wakurdi,
uvamizi wa Turkey kaskazini mashariki mwa syria ni habari mbaya kwa marekani ,israel na saudi arabia kwani walitaka kuwepo kwa taifa huru la kurdistani ili kuzigawa nchi tishio kwao ambazo ni iran,iraq,syria na Turkey,
hali hii inawawia vigumu wamarekani kumsaidia mkurdi kwani anajua Turkey sio nchi ya wasiwasi kijeshi na wamarekani pia hawataki kuanzisha vita na mwanachama mwenzao wa NATO,ndo maana Trump aliamua kuondoa askari wake kupisha uvamizi
Kuhusu suala la US Kuwakacha Allies wake wala sio jambo la kushangaza jmaa wanafiq sana kiasi kwamba pindi wanapo ona maslahi yao hawayafikii na wanagharamika ama washayafikii basi kwao kukugeula nisuala jepesi 2 zaidi ya sanahapo US atakuwa kafanya deal la pembeni na wakurdi kuwahakikishia usalama. Haiingii akilini kumwacha ally wako ghafla hivyo. Siku nyingine ukihitaji ally hutaaminika. Pia huyu Uturuki anampango wa kukaa hayo maeneo kwa muda gani? aasijekuwa anaingia kichwakichwa kama Saudi Arabia huko Yemen.