CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
- #41
Unatoa urith kwa ukoo ukifa hvyo ni bora kuz2nza!
Bora weww!!!!!
Unatoa urith kwa ukoo ukifa hvyo ni bora kuz2nza!
Vyupi chakavu stahiki yake moto tu
Mkuu... hakuna sehemu niliyotaja kwa wadada tu. Nguo za ndani zinajumuisha hata chu.pi za wakaka....
Choma moto tu
Ukizichoma moto unaharibu nanihiu yako.Elewa hivyo tubahati mbaya na georgeallen huyo mdada wa pili alisema ni vibaya kuzichoma moto (yaani ni mwiko) ndo nataka kujua huo mwiko. Make mimi huwa nazichoma!
Bora huyo anazichoma hizo pedi, me ninaye rafiki yangu, yeye huwa anaziosha na maji, then anazitupa, eti mama yao kawakataza kuzitupa zikiwa na uchafu, ni mwiko, nikimuuliza ni mwiko kivipi hanijibu, na hapo cjui inakuwajeMimi huwa nazichoma na huwa nasikia tu mwiko kuzichoma lakini wala sijali hayo mambo ya miiko maana hata hawasemi ni miiko gani.............
Kuna msichana mdogo kama fomu two hivi niliwahi kumkuta anachoma (always) eti Mama yake akamwambia wewe ni mwiko kufanya hivyo msichana akamwambia mbona shule tangu nimevunja ungo huwa nazichoma na sijapata madhara yoyote mie kwa kweli sijui miiko ni gani hapo
Bora huyo anazichoma hizo pedi, me ninaye rafiki yangu, yeye huwa anaziosha na maji, then anazitupa, eti mama yao kawakataza kuzitupa zikiwa na uchafu, ni mwiko, nikimuuliza ni mwiko kivipi hanijibu, na hapo cjui inakuwaje