Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,860
- 172,508
Evelyn Salt wewe unaonaje juu ya hili?
mi naona kuchoma ndio sawa!!!!!
Evelyn Salt wewe unaonaje juu ya hili?
Shemeji acha umbeya. Ntamwambia kaka akuadhbu
hili swali hiiiiiili!lol!kwahiyo tangu za utoto unazo?
adhabu zake sasa!NAZIPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEENDAJEEEE!
mmmh hv ni wadada tu au hata wanaume tunaweza kuchangia?
bahati mbaya na georgeallen huyo mdada wa pili alisema ni vibaya kuzichoma moto (yaani ni mwiko) ndo nataka kujua huo mwiko. Make mimi huwa nazichoma!
Mimi huwa nazichoma na huwa nasikia tu mwiko kuzichoma lakini wala sijali hayo mambo ya miiko maana hata hawasemi ni miiko gani.............
Kuna msichana mdogo kama fomu two hivi niliwahi kumkuta anachoma (always) eti Mama yake akamwambia wewe ni mwiko kufanya hivyo msichana akamwambia mbona shule tangu nimevunja ungo huwa nazichoma na sijapata madhara yoyote mie kwa kweli sijui miiko ni gani hapo
kupunguza budget unaweza kutumia kama leso:bump2:
Mimi ndio maana hata sisivai napiga bukta yangu huyooo mtaani
kupunguza budget unaweza kutumia kama leso:bump2:
kwahiyo tangu za utoto unazo?
labda huo mwiko ni wa mila za kwao, pia mie huchoma.