Utunzaji wa ngozi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utunzaji wa ngozi.

Discussion in 'JF Doctor' started by Simply, Dec 20, 2012.

 1. S

  Simply Senior Member

  #1
  Dec 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari Wana JF
  Nauliza mafuta gani au tiba mbadala au njia gani inafaa tumiwa kwa mtu anayefanya kazi juani(sun rays) muda mrefu ili kutunza afya ya ngozi,?
   
 2. phina

  phina JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tafuta mafuta ya sunscreen..huwa yana kitu kinaitwa sun protective factor-SPF yenye namba.kwa mfano spf 26 inamaanisha ili kudhurika na mionnzi ya jua inatakiwa iwe mara 26 zaidi ya kiwango chake cha kawaida..
  ila mi vyema umtafute daktari wa ngozi akushauri zaidi..

  ila kama utatumia hayo mafuta kumbuka kutafuta other sources of vitamin D..jua lina umuhimu wake katika kuhakikisha tunapata viyamini hivyo muhimu kwa kuimarisha mifupa yetu
   
 3. S

  Simply Senior Member

  #3
  Dec 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni muda gan sahihi kutumia.,?
   
Loading...