Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
Sidhani kma aliogopa usalama wa chupi zake mpk akakuomba umlindie. Wewe linda alichohofia kupotea, habari ya chupi achana nayo.
Habari wakuu
Wiki ya pili sasa jirani yangu "mwanamke" single mother kapata safari ya gafla kwenda huko Dar es salaama.
Tumezoena sana kiasi kwamba hata kiss za hapa na pale huwa napatiwa pia touching huwa ananiruhusu haswa wakati anapokua room kwangu kuja kunijulia hali.
Baada ya kupata safari yake hiyo aliamua kunipa wadhfa wakulala chumbani kwake mpaka atakaporudi akihofia maswala ya usalama wamali zake
Mbaya zaidi ni pale nilipokutana na mpangilio mbaya wa CHUPI zake zingine kaninginiza kwenye kitanda yani ovyo ovyo tu,Mpaka nimejiskia vibaya wakuu.
Nampango nimtunzie kabatini kwake maana nimechoka kuziona.
Utaolewa na wanaume wa watu wewe,ngoja mchepuko wake uje ndio utakusaidia kuzipangaMimi ni yule boy Wa Jkt huwa silalagi