Utundu, utani, maneno makali, kujali, kuchepuka kisayansi ndio kunakonifanya nidumu kwenye ndoa

niko kwenye ndoa mwaka wa nne vsasa na sijawahi kuchepuka ingawa majaribio kadhaa yamewahi kutokea ila hayakufanikwa.
ilaa naona kuna kaukweli fulani mwanamme kwa mke mmoja ni kamtihani kidogo
mtihani mkubwa sio kidogo kaka. Wee gegeda hizo papuchi utakuja kulia siku ukijagundua papuchi mkeo anagawa aya wee jidai kupenda
 
Wee huwanui wanawake.... Kama ulimkuta bikra sawa lakini ulimkuta breki ya kwanza pu.mbu unanifariji tuu hapo. Miaka minne midogo sana kwenye ndoa.
sikumkuta bikra na pia mimi sikua bikra, lakini miaka minne mkuu sio haba kwa ushuhuda wa watu wengi miezi tu wameshachepuka! so najivunia
 
Utundu, utani, maneno makali, kujali, kuchepuka kisayansi ndio kunakonifanya nidumu kwenye ndoa.

Ni vitu vidogo vidogo sana, lakini ukivipangilia na ukavitumia kwa muda sahihi ndoa yako itakuwa ni ya furaha na amani tele.

Hutomsumbua mpenzi wako akupe tendo pale yeye ambapo hajisikii, muda mwingi utakuwa uko bize kwenye uzalishaji n.k bado miaka 2 nitimize miaka 15 ambapo naona kama bado nachumbia vile.
Mko wawili katika ndoa, na sio juhudi zako tu. Na mwenza wako kuna anavyochukulia poa ndio maana mna miaka 13.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niko kwenye ndoa mwaka wa nne vsasa na sijawahi kuchepuka ingawa majaribio kadhaa yamewahi kutokea ila hayakufanikwa.
ilaa naona kuna kaukweli fulani mwanamme kwa mke mmoja ni kamtihani kidogo
Basi oeni tujijue tupo wangapi kuliko kuchepuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom