Si alipanda gari imepaki.ila dereva mzembe haangalii center mirror angekaonaAtakuwa amepandishwa hapo angalia kimo cha gari toka chini na urefu wa mtoto ni vitu viwili tofouti.
Una akili sana weweAtakuwa amepandishwa hapo angalia kimo cha gari toka chini na urefu wa mtoto ni vitu viwili tofouti.
Mshana Jr, yaani hii ni balaa. Ni lazima tuwe Na utamaduni wa kukagua gari kuanzia kwenye magurudumu hadi ndani kabla hatujaondoa gari
Huyu ni Kirikou mtoto a kichawi. Mtoto gani ana nguvu ya kushikilia na kukaa hapo Toka nyumbani hadi mjini? Halafu barabara nzima dereva alikutana Na mwendesha pikipiki tu!!!!Hizi threads zingine zinatungwa ili kuliwa bundle zetu tu. Hakuna uhalisia. Mtoto huyu hawezi kupanda hapo peke yake.
Hiyo plate namba ya hiyo gari same time yale magari ya wasiojulikana huwa wanazifunga yaani ukikutana nalo kwa wasiojua utasema aaa hili gari la ubalozi fulani[emoji144] [emoji144]
huyu hajatofautiana akili na yule alietoka mwanza akiwa chini ya Bus
Kwani alipopandia ulipaona?Atakuwa amepandishwa hapo angalia kimo cha gari toka chini na urefu wa mtoto ni vitu viwili tofouti.