Utumwa wa Waarabu

Maendeleo ya Viwanda huko uropa na amerika yalitumia watumwa kama nguvu kazi.Je umesahau udhalilishaji wa wareno ?na alexander the great? Waarabu walishika dini na kwamba udhalilishaji si katika mafunzo ya dini.
 
Kweli akili ni nywele, mimi ni mwalimu wako huwezi kunifundisha. Mimi naweza kuwa na udhaifu ila dini yangu haina udhaifu
I can guarantee you,dini yako ina madhaifu Mia kidogo ,au nikuletee vifungu, tatizo lako wewe unaamini lakini hujui
 
Buhahahahahahah

Eti Wamissionari walikuwa wakiwanunua kwa Mabunyeyenye wa Kiarabu,kisha wakiwaachia huru!!!!!!!!!!!!!!!!!

Buhahahahaha

Kweli,Danganya toto
 
Hivi hawa wazungu wamekulisheni kitu gani mpaka Mkawaabudu namna hii?!!!!

Maana ukweli usiofichika
Hao ndio Mabwana wakubwa wa Biashara hii

Waarabu kama walikuwepo,Walikuwa ni wakati na kati
Wao walikuwa wakitumwa na hao Wazungu,kisha kuwapelekea

Sasa kwann tatizo hili baya na ovu
mnawatupia Waarabu tu?!!!
au kwa sababu ya Uislam tu?!
Subiri akaze mishipa ya kiuno na kuanzisha ubishi wa kapu la "mahogo-kivunde"! You jus' have to wait a little bit!
 
Waarabu na wazungu wote walihusika
 
Nipe ushahidi kuwa alifanya wa picha na si maneno ya wazungu wenyewe

Wapi alete ushahidi! Hata mimi nimemuomba kimyaa..mkuu hawa watabakia kuwa na chuki zao dhidi ya waarabu. Na hiyo hiyo chuki haitawatoka mpaka anaingia kaburini, na huko ndiyo anakutana na visago mammae!
 
Dah

Waarabu wa watu,jinsi wanavyosakamwa na washiba tango pori

Chief
Kitendo cha kuingiliana kinyume na maumbile,haina maana Africa yetu ya watu weusi,hakikuwepo tokea hapo mwanzo(Kabla ya Biashara ya Utumwa)
Haina maana hiyo
Tendo hili baya la kulaaniwa,lilikuwepo tangu na tangu,vizazi na vizazi,japokuwa lilifanywa kwa vificho mno
Ila haifai kusema Fulani ndio wametuletea upuuzi huu

ukiambiwa kuwa ushoga umeenea jamii ya pwani sababu ya influence ya tamaduni za kiarabu napo utaomba picha.....
 

Mkuu hawa hawatakuelewa kabisaa,ni chuki hizo zimewajaa sanaa dhidi ya uislamu/waarabu. Tumewaomba watuletee ushahidi hapa kama ni kweli waarabu walihusika kwenye biashara ya utumwa/kutesa babu zetu, wamekaa kimyaa!! Hawa watu wa ajabu sana.
 
Inapofika mtu,kutamka ukweli inakuwa ngumu kwake
Basi fahamu,maisha yake ni mafupi mno

Chuki na Ubinafsi, ni ugonjwa Mbaya sana kuliko Ukimwi au Umauti

Mwenye chuki,huwa hana maendeleo ya kweli,na kama atakuwa nayo,Basi ni ya muda tu

Ukweli huokoa milele,hata kama utachukiwa na Dunia nzima
Bado pale pale, ukweli utabaki kuwa muokozi wa kweli
Mkuu hawa hawatakuelewa kabisaa,ni chuki hizo zimewajaa sanaa dhidi ya uislamu/waarabu. Tumewaomba watuletee ushahidi hapa kama ni kweli waarabu walihusika kwenye biashara ya utumwa/kutesa babu zetu, wamekaa kimyaa!! Hawa watu wa ajabu sana.
 
Hujajibu swali kwanini pwani ambako kumetamalaki dini yenu ndo kunaongoza kwa ushoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…