Utumwa wa Waarabu

Walifanya Ila si kwa kiasi ambacho propaganda za ulimwengu zinatuaminisha! Kwa nini katika biashara ya utumwa huwa anaonekana hasa mtuhumiwa mmoja yaani mwarabu na sio mataifa mengine? Huoni kuwa syllabus zet huwa zinatuingiza chaka
Point inabaki pale pale kuwa walifanya na hii ikasababisha wazee wetu wabadilishe dini na wafuate dini za kiarabu ili kuwa salama
 
No nani anakuwa acused Sana kwenye hii biashara ya utumwa mashuleni na kwenye media nyingi kama sio mwarabu? Tuanzie hapo kwanza
Mwarabu anakuwa accused kwasababu alikuwa hataki kuacha hio biashara ,mataifa ya Ulaya yalianzisja kampeni ya kufuta biashara ya utumwa lakini mwarabu aliendelea kufanya kimya kimya, rejea abolition of slave trade
 
waarab na wazungu wote walifanya ushenzi. tofauti tu waarabu hawakua na technolojia ya picha na utamaduni wa kuweka record....

Kama hawakuwa na technolojia, wewe ulijuwaje wamehusika kwenye utumwa kama sio chuki dhidi ya hao waarabu!! Waarabu hawakuhusika kwenye huu ushenzi isipokuwa waliohusika ni western countries na sisi kwa sisi, msiwasingizie waarabu bwana
 
Point inabaki pale pale kuwa walifanya na hii ikasababisha wazee wetu wabadilishe dini na wafuate dini za kiarabu ili kuwa salama

Kuna dini ya kiarabu hapa duniani? Alafu nataka evidence inayoonyesha kuwa waarabu wametesa babu zetu...sitaki maneno mengi mzee
 
Halafu wanasema dini yao ya haki,mimi hapo huwa siwaelewi afu umamkuta mbantu mweusi anaabudu dini na tamaduni za kiarabu, very sad
 
Mwarabu anakuwa accused kwasababu alikuwa hataki kuacha hio biashara ,mataifa ya Ulaya yalianzisja kampeni ya kufuta biashara ya utumwa lakini mwarabu aliendelea kufanya kimya kimya, rejea abolition of slave trade
Mtoa mtaji na mtu anayezalisha mzigo Nani anamtegemea mwenzie kwa kiasi kikubwa? Aliyefanya kampeni ya ku abolish slave trade ni sultan au ni mzungu Africa mashariki nk?
 
Mwarabu anakuwa accused kwasababu alikuwa hataki kuacha hio biashara ,mataifa ya Ulaya yalianzisja kampeni ya kufuta biashara ya utumwa lakini mwarabu aliendelea kufanya kimya kimya, rejea abolition of slave trade

Lete evidence wajionee na wengine, sio unaongea tu bila facts
 
Happy hatuwezi kuelewana wewe unafikiri kwa akili,yeye anafikiri kwa kutumia uislamu hamuwezi elewana
 
Mwarabu anakuwa accused kwasababu alikuwa hataki kuacha hio biashara ,mataifa ya Ulaya yalianzisja kampeni ya kufuta biashara ya utumwa lakini mwarabu aliendelea kufanya kimya kimya, rejea abolition of slave trade
Aliyeianzisha ndiyo aliyeifunga baada ya kukua viwanda, hivi hii historia si ya primary kabisa nayo huijui? Unanifanya nikufikirie vibaya kuwa huenda mtoto mdogo anaweza akaelewa zaidi yako!
 
waarab na wazungu wote walifanya ushenzi. tofauti tu waarabu hawakua na technolojia ya picha na utamaduni wa kuweka record....
Exactly,Sasa unamkuta mbantu mweusi anamtetea mwarabu kuwa hakufanya biashara,hizi dini zinawafunga Sana akili wabongo
 
Aliyeianzisha ndiyo aliyeifunga baada ya kukua viwanda, hivi hii historia si ya primary kabisa nayo huijui? Unanifanya nikufikirie vibaya kuwa huenda mtoto mdogo anaweza akaelewa zaidi yako!
Mkuu dini inakufunga Sana, samahani Kama nitakuudhi,unaabudu usichokijua,weka dini pembeni, assume hauna dini,then njoo nikupe madhaifu ya hiyo dini yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…