said Nundu JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 466
- 359
- Thread starter
-
- #81
Ni "kama" kumbe, hata Weusi wanaofanya kazi kwa weusi wenzao hapa Tanzania ni kama watumwa pia au hujui, husikilizi habari, au una kinyongo?Hadi leo weusi wanaofanya kazi uarabuni ni kama watumwa!
Ndugu,obsession yako ya kuwaondoa waarabu katika hii biashara kwa maana kuwa wako innocent haitakusaidia kabisa.Huko Arab Emirates kuna documentary kibao za manyanyaso ya watu weusi yanayofanywa na waarabu.Na hata ubalozi wa Tanzania ushatoa tamko kuhusu unyama wanaofanyiwa dada zetu na waarabu.Unataka niingie katika mtego wako wa chuki za kidini ambazo kwa namna yeyote ile hazitanifanya mimi niwe muislam(just because wamisionari walimiliki watumwa)Au wewe uwe mkristu(Just because waarabu including Muhammad)walimiliki watumwa.Ni "kama" kumbe, hata Weusi wanaofanya kazi kwa weusi wenzao hapa Tanzania ni kama watumwa pia au hujui, husikilizi habari, au una kinyongo?
Another gooood,good story to make our hearts tender,huh!?Haya ni maneno ya Prof Walter Rodey "how europe underdeveloped africa".
Kimsingi utumwa kwa afrika uliletwa na kufanywa na wazungu kabla ya hapo hakukuwa na utumwa bali people owning people systerm ambapo aliweza mmilikiwa kuwa na maisha yake huku akifanya kazi kwa mmiliki wake
View attachment 945409
Duh!Hata vitabu vya dini yako unavikana hadharani?Kwa kuwaelewesha tu kisomi utumwa haukuwahi kufanyika Afrika kabla ya ukoloni wa Wamagharibi kuanzia karne ya 16 ((trans atlantic slaverly))
Yupo kinyume na ulivyoandika.Una chuki binafsi na waarabu maana walioko pichani ni wazungu
Umeona uarabuni tu ndo kuna ubaguzi,huko india,ulaya na hata nchi za kiafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyeweNdugu,obsession yako ya kuwaondoa waarabu katika hii biashara kwa maana kuwa wako innocent haitakusaidia kabisa.Huko Arab Emirates kuna documentary kibao za manyanyaso ya watu weusi yanayofanywa na waarabu.Na hata ubalozi wa Tanzania ushatoa tamko kuhusu unyama wanaofanyiwa dada zetu na waarabu.Unataka niingie katika mtego wako wa chuki za kidini ambazo kwa namna yeyote ile hazitanifanya mimi niwe muislam(just because wamisionari walimiliki watumwa)Au wewe uwe mkristu(Just because waarabu including Muhammad)walimiliki watumwa.
Uzushi wa aina hiyo na inclination hzo towards other peoples' beliefs zinakufanya uwe na kinyongo(escaping your own shadow by incriminating others) Nakushauri ujikite zaidi kujifunza utu wema na si vijipropaganda mnavyopandikiziwa kwenye kile chuo chenu cha Ahsante Mukapa (Graduates wake wanaongoza kwa hasira na chuki Tanzania)
Enjoy life ndugu yangu maisha ni mafupi sana
Watu weupe wote waliokuja Afrika (waarabu kwa wazungu) walitesa sana wabantu. Wamekuja kuacha baada ya kugundua machine zilizowapa faida kwa haraka kuliko kutumia binadamu. Nyingine zote mbwembwe.
Dawa ni kuheal makovu yaliyoletwa na hao wakoloni wetu na biashara yao ya utumwa.Wazungu waliifanya na waarabu waliifanya pia.Umeona uarabuni tu ndo kuna ubaguzi,huko india,ulaya na hata nchi za kiafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe
Bado haujajibu swaliHata historia ya darasa la tatu chee unataka nikakuletee mifano?Halafu,ukijua ndiyo utawalipia nauli warudi kukusabahini!?
Ungejiuliza Seyyid Said,Barghash,Tip Tip na wengine wa aina yao walitokea wapi.Kwa sababu tu uliambiwa JF ni kisima cha habari basi ndiyo uje usumbue watu kwa mambo ambayo yamo ndani ya uwezo wako?Aaaargh!!!Kuchoshana sasa aisee!!Sijibu.Bado haujajibu swali
Sana sana umeleta tamathali za semi. Yaani ni swali dogo tu, halihitaji herufi nyingi kulijibu.
hahhahaHao ndiyo waarabu?Kama una lako weye andika.Acha visa vya mwenye nyumba kujiimbisha taarabu milangoni mwa wapangaji!
Utumwa wa kujipeleka.Hadi leo weusi wanaofanya kazi uarabuni ni kama watumwa!
Unaenda kihisiya sana kuliko kiuhalisia.Ungejiuliza Seyyid Said,Barghash,Tip Tip na wengine wa aina yao walitokea wapi.Kwa sababu tu uliambiwa JF ni kisima cha habari basi ndiyo uje usumbue watu kwa mambo ambayo yamo ndani ya uwezo wako?Aaaargh!!!Kuchoshana sasa aisee!!Sijibu.
Kwa hiyo unanikoga kwa kuwafahamu wajomba zako?Hamna shida.Ndiyo MAANA ulivyouliza swali la kijuaji sikujibu.Unaenda kihisiya sana kuliko kiuhalisia.
Unabidi umjue Imam Sultan bin Seif, Seif bin Sultan. Inabidi uujue Ukoo Al' Busaid, Sayyid Said bin Sultan bin ahmed, Sayyid Majid Said bin Sultan, na baada ya hapo ndipo umsome Barghash.
Tippu tip, mama yake ni Mswahili na baba yake ni Muarabu. Kamsome naye, kama kuuza alikuwa anawauza wenye asili ya mama yake.
Punguza ghadhabu.
Wapi nimeandika hao ni wajomba zangu? Ngoja nikuache.Kwa hiyo unanikoga kwa kuwafahamu wajomba zako?Hamna shida.Ndiyo MAANA ulivyouliza swali la kijuaji sikujibu.
Kwa hiyo unanikoga kwa kuwafahamu wajomba zako?Hamna shida.Ndiyo MAANA ulivyouliza swali la kijuaji sikujibu.