[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
ngoja waje watoto wa papa na povu lao utaoga![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
huko asia na arabuni waafrika walihasiwa sana,.........Una uhakika?Hawapo au hawapo kwa wingi?Jiulize;Kama walienda
1-Walipata fursa ya kuendeleza vizazi vyao?
2-Je,walenda na wanawake weusi wenzao kuendeleza kizazi chao?
3-Hata kama hawakwenda na wenza wao wa kike ,waliruhusiwa kuoa hao "wanawake wa kiarabu/Asia ili kuendeleza asili yao?
USHAURI:
Jikite zaidi kujijuza ilikuwaje watumwa kutoka Afrika wakawa nadra Asia au sehemu zingine kutokuwepo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu weka picha tuone...... sijawahi kuona mwarabu mweusiLabda hujui tu. Kuna “waarabu weusi” wengi tu bara Arabia…
Unajua maana ya hizo kotesheni?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu weka picha tuone...... sijawahi kuona mwarabu mweusi
Sawa, Uarabuni kuna nchi nyingi. Hebu tufahamishe nchi gani za Kiarabu zilichukua watumwa.Wroooong!Hakuna mtu aliyeng'ang'ania kuwa ni Waarabu tu ndiyo walifanya biashara ya watumwa,uelewe.Swali ni kwa nini watu wa asili ya Afrika/watumwa hii leo wapo kwa idadi ndogo Uarabuni/Asia?
Hebu chukulia wale assimilados wa nchi kama Ufaransa waliotoka Afrika,kwa nini kizazi chao leo hii kimejaa tele huko?Achilia mbali USA.
Hata historia ya darasa la tatu chee unataka nikakuletee mifano?Halafu,ukijua ndiyo utawalipia nauli warudi kukusabahini!?Sawa, Uarabuni kuna nchi nyingi. Hebu tufahamishe nchi gani za Kiarabu zilichukua watumwa.
Mkuu hawa watu wagumu sana kuelewa.. Waarabu hawakuchukua kabisa watumwa hayo mambo ya wazungu.. /sarcasm…Sawa, Uarabuni kuna nchi nyingi. Hebu tufahamishe nchi gani za Kiarabu zilichukua watumwa.
Wapo wengi mbona[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu weka picha tuone...... sijawahi kuona mwarabu mweusi
Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
Hivi vifuasi vya Bwn. Mudy wa Mecca vina matatizo sana wallah.Hao ndiyo waarabu?Kama una lako weye andika.Acha visa vya mwenye nyumba kujiimbisha taarabu milangoni mwa wapangaji!
Umekosa wa kumkamua ngama sasa unaletaleta ujinga kama wa Mudy humu.
Nisamehe mkuu fore sure nilijua wewe ni ke,si kwa nia ya kukushihshia heshima yako hapana,hapana kbs ni kwa kuwa niliongozwa na avatar yako kama unavyosema! Nisamehe Sana mkuuWeye si muungwana.Badala ya kunitaka radhi kwa ukosefu wa hishima,kuandika ndivyo sivyo na kuongozwa na avatar yangu negatively, unazidi kunilazimisha nipokee jinsi ambayo si yangu.Halafu,umeandika mimi naleta malumbano badala ya mjadala?Nii WAPI katika Uzi huu nimeenenda hivyo?Umeharibu majadiliano yangu na weye kwa kukosa adabu.Halafu leo nadhani nimekuwa mlokole!
Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.
Nilishakusamehe kitambo.Si weye pekee.Kuna mmoja alikuja pm na kuanza kuomba "uhouse"! Nilicheka mnoo.Ila nilimjibu kistaarabu na alielewa.Avatar imezua mambo.Nimeweka hii avatar kuonesha upendo dhahir kwa watoto wetu.Hii ifundishe kutohukumu kwa kutazama bila umakini.Uwe na wakti mwema.Nisamehe mkuu fore sure nilijua wewe ni ke,si kwa nia ya kukushihshia heshima yako hapana,hapana kbs ni kwa kuwa niliongozwa na avatar yako kama unavyosema! Nisamehe Sana mkuu
Ahsante Sana mkuu,mm na weww tuwe na siku njema mkuu,ni kweli ulichosema!Nilishakusamehe kitambo.Hii ifundishe kutohukumu kwa kutazama bila umakini.Uwe na wakti mwema.
Kwa hiyo tip tip alikuwa mzungu?Mkuu hawa watu wagumu sana kuelewa.. Waarabu hawakuchukua kabisa watumwa hayo mambo ya wazungu.. /sarcasm…
Hadi leo weusi wanaofanya kazi uarabuni ni kama watumwa!Sawa, Uarabuni kuna nchi nyingi. Hebu tufahamishe nchi gani za Kiarabu zilichukua watumwa.