Utumishi wa umma na utawala bora tunapiga hampatikani kwenye simu

walikuyu

JF-Expert Member
Jul 27, 2018
572
1,188
Kama somo linavyojieleza hapo juu.

Wakuu natumaini amjambo! Jamani tangu wiki iliyopita tunapiga namba ya simu ya utumishi wa umma na utawala bora haipatikani kabisa tunashindwa kupata mirejesho ya matatizo yetu.

Najua humu kuna wajuzi wengi tafadhali kama kuna mdau yeyote anaweza kutoa usaidizi basi afanye ivyo.
Naomba niwasilishe wakuu.
 
Mkuu ni jambo la kawaida sana taasisi na vitengo vya serikali, including TANESO, kutopokea simu au kuzima simu kabisa. Namba za simu wanazotoa ni za kuzugia tu. Hakuna utaratibu wa aina hiyo nchini Tanzania. Hii ni nchi ya kipuuzi sana. Hata wakiweka email inakuwa ya bandia....ukituma emails haziendi ng'o. Hii ni nchi ya kipumbavu sana.
 
Dah mkuu inasikitisha sana, but kwa utumishi wa umma huwa inapatikana coz huko nyuma nilikuwa napiga nawapata lakini sasa tangu wiki iliyopita simu yao changamoto sana yani haipatikani kabisa wakati ile ni taasisi kubwa sana tena inashughulika na masuala ya kiutumishi nchi nzima nashangaa tangu wiki iliyopita no haipatikani na wao wametulia tu kwakweli ni changamoto sana.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom