Time Traveller
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 314
- 305
Mkuu kuna post za TRL utumishi naona telecommunications munahitajika wa kutosha
Ulicreate account na kujaza profile yako by at least 70% ? Kuna nafasi za telecom jana nimezionaNakumbuka kipindi cha nyuma hapa niliwahi kulalamika ,kwa nini utumishi hawanichagui.Nashukuru kuna watu waliniambia wakaniambia niende nikaonane nao ana kwa ana Maktaba kuu ya taifa.Mimi nina Degree ya Telcommunication Engineering na CCNA (R&S).Nimeanza kuapply kazi kuanzia 2016 lakini sikubahatika kuitwa katika usahili hata mmoja,kuna nafasi za TCRA amabazo nilikuwa na fiti sikuitwa,kuna nafasi za TPA (Network Engineer) sikuitwa,wizara ya ardhi (Network Engineering) sitatwa.eGA na TBS zote sikuitwa ,nafasi zote hazikuwa na uhitaji wa mtu mwenye uzoefu.
Nakumbuka wiki kama tatu nyuma nilienda kukutana nao pale maktaba,bahati nzuri niakakutana na mama wa makamo,nikamuuliza tatizo langu, mbona mimi sijawahi kuitwa kwenye udahili tokea nianze kufanya application 2016.Yule mama aliangalia profile langu kalikagua akaliona lipo sawa,akangalia zile requirement za kazi ,nilizoomba akaniambia tatizo naomba nafasi za watu wa Computer Science,Software,IT .Nikamwambia inamaana CV zetu tunazowapa hamtizami,akaniamabia wao wanaangalia kwanza kozi,nikajaribu kumueleza ya kuwa upande wa Networking hamna course inayoingia deep kama Telcom sasa mbona hata hizi mimi sichaguliwi na vilevile nina CCNA ,akanipa jibu nahisi kama limeninyong'onyesha ,aliniambia kwa post ninazo omba ni za watu wa Computer Science,IT,Software,Computer Engineering kama vipi nisubirie za TTCL (wana miaka zaidi ya mitatu siajona tangazo lao la ajira),nilichoka sana.Nikaona tena nitafute shughuli nyingine ya kufanya.
Baadaye nikaja gundua si mimi peke yangu nina jamaa yangu mmoja tulipiga nae project kwenye kamapuni za minara ana Diploma ya Electronics and Telecommunication Engineering na Degree ya Electronics and Communication ,kumbe nae ana tatizo kama langu ,ila yy aliitwa interview moja ya Business analyst basi lakini tokea 2015 kila akiapplya anakosa hata hii ya juzi ya TBS ilikuwa ikitaka mtu kama yeye (haina experince) hakuitwa.Sasa pata picha una mwita mtu udahili wa Business analyst,lakini katika sehemu anayofiti kabisa ya TBS humwiti hamuoni kama kuna walakini.
Nimeziona nafasi hizi za TAMISEMI nimezitamani sana na nyingi upande wa network administrator,lakini nikiangalia kutokana na majibu ya yule mama naona bora niache na nafasi zipo zaidi ya 20.Labda nilikuwa naomba ushauri labda niende ngazi gani ya juu ili niweze saidiwa manake nimechoka na hizi tempo za kuungaunga.
Mkuu aina haja ya kuattach document zako tena, unapaswa kuandika barua yako ya maombi zen attach tuma kwa maana taarifa zako zipo tayali kwenye database yao kwa iyo aina haja ya kuattach tena vyeti vyakoJamani naomba kuuliza,nakumbuka yapata mwaka mmoja sasa tangu nijisajiri na kuitwa katika interview utumishi,sasa leo nimekutana na post nyingine ambayo inanihusu,nataka nitume je nianze na hatua gani ili kuweza kutuma tena,Je niandike tu barua na kutuma ana nianze kuscan vyeti na kugonga mhuri wa wakili upya,naombeni ushauri wenu
Ila nimekuja kukumbuka yakuwa sijavigongaga muhuri wa mwanasheria,Nilitaka niweke tena vyeti vyangu vikiwa nimegonga muhuri wa mwanasheria,je nifanyaje hapoMkuu aina haja ya kuattach document zako tena, unapaswa kuandika barua yako ya maombi zen attach tuma kwa maana taarifa zako zipo tayali kwenye database yao kwa iyo aina haja ya kuattach tena vyeti vyako
Hapo sawa mkuu sasa log in alafu nenda kwenye attachment sehemu imeandikwa delete, vifute alafu uanze tena kujaza mahali pale ambapo ulikuwa unajaza education back ground endelea kufanya ivyo kuanzia chuo adi o levelIla nimekuja kukumbuka yakuwa sijavigongaga muhuri wa mwanasheria,Nilitaka niweke tena vyeti vyangu vikiwa nimegonga muhuri wa mwanasheria,je nifanyaje hapo
Ok,shukrani sana kwa ushauri wako,Je iyo barua naiadress kwa katibu wa sekratieti ya ajira ama kule walikotoa tangazo,mfano kama kazi imetangazwa na muhimbili hospital naomba unieleweshe hapoMkuu aina haja ya kuattach document zako tena, unapaswa kuandika barua yako ya maombi zen attach tuma kwa maana taarifa zako zipo tayali kwenye database yao kwa iyo aina haja ya kuattach tena vyeti vyako
Barua zote zipelekwe kwa katibu mkuu wa secretariat ukisoma tangazo la kazi la utumishi kwa chini kuna anuaniOk,shukrani sana kwa ushauri wako,Je iyo barua naiadress kwa katibu wa sekratieti ya ajira ama kule walikotoa tangazo,mfano kama kazi imetangazwa na muhimbili hospital naomba unieleweshe hapo
Samahani kaka,nataka kuandika barua kwa kiswahili,Unaanza naBarua zote zipelekwe kwa katibu mkuu wa secretariat ukisoma tangazo la kazi la utumishi kwa chini kuna anuani
Ndio andika hivyo hivyoSamahani kaka,nataka kuandika barua kwa kiswahili,Unaanza na
Katibu Mkuu
Sekretarieti ya Ajira na utumishi wa umma,
P o box 63100
dsm
si ndio ivyo address ya kutuma hayo maombi
Ndio mkuu ndo iyo iyo anuaniSamahani kaka,nataka kuandika barua kwa kiswahili,Unaanza na
Katibu Mkuu
Sekretarieti ya Ajira na utumishi wa umma,
P o box 63100
dsm
si ndio ivyo address ya kutuma hayo maombi
Ok,nimeshatuma tayari ........nashukuru kwa ushauri wakoNdio mkuu ndo iyo iyo anuani
Kila la kheri mkuu mungu akutangulieOk,nimeshatuma tayari ........nashukuru kwa ushauri wako
Ndio mkuu ndo iyo iyo anuani
Kiswahili ni sanduku la posta kifupi ni S.L.P. XXXP.o.Box ni kiswahili????
Sio Katibu Mkuu, niSamahani kaka,nataka kuandika barua kwa kiswahili,Unaanza na
Katibu Mkuu
Sekretarieti ya Ajira na utumishi wa umma,
P o box 63100
dsm
si ndio ivyo address ya kutuma hayo maombi
Pole sana mkuu, naomba kukuuliza umezungumzia jamaa ako aliona internship za TBS juzi sio na ameitwa upande wa business analyst, kwahiyo kumbe shortlisted wameshaitwa katika interview...?Nakumbuka kipindi cha nyuma hapa niliwahi kulalamika ,kwa nini utumishi hawanichagui.Nashukuru kuna watu waliniambia wakaniambia niende nikaonane nao ana kwa ana Maktaba kuu ya taifa.Mimi nina Degree ya Telcommunication Engineering na CCNA (R&S).Nimeanza kuapply kazi kuanzia 2016 lakini sikubahatika kuitwa katika usahili hata mmoja,kuna nafasi za TCRA amabazo nilikuwa na fiti sikuitwa,kuna nafasi za TPA (Network Engineer) sikuitwa,wizara ya ardhi (Network Engineering) sitatwa.eGA na TBS zote sikuitwa ,nafasi zote hazikuwa na uhitaji wa mtu mwenye uzoefu.
Nakumbuka wiki kama tatu nyuma nilienda kukutana nao pale maktaba,bahati nzuri niakakutana na mama wa makamo,nikamuuliza tatizo langu, mbona mimi sijawahi kuitwa kwenye udahili tokea nianze kufanya application 2016.Yule mama aliangalia profile langu kalikagua akaliona lipo sawa,akangalia zile requirement za kazi ,nilizoomba akaniambia tatizo naomba nafasi za watu wa Computer Science,Software,IT .Nikamwambia inamaana CV zetu tunazowapa hamtizami,akaniamabia wao wanaangalia kwanza kozi,nikajaribu kumueleza ya kuwa upande wa Networking hamna course inayoingia deep kama Telcom sasa mbona hata hizi mimi sichaguliwi na vilevile nina CCNA ,akanipa jibu nahisi kama limeninyong'onyesha ,aliniambia kwa post ninazo omba ni za watu wa Computer Science,IT,Software,Computer Engineering kama vipi nisubirie za TTCL (wana miaka zaidi ya mitatu siajona tangazo lao la ajira),nilichoka sana.Nikaona tena nitafute shughuli nyingine ya kufanya.
Baadaye nikaja gundua si mimi peke yangu nina jamaa yangu mmoja tulipiga nae project kwenye kamapuni za minara ana Diploma ya Electronics and Telecommunication Engineering na Degree ya Electronics and Communication ,kumbe nae ana tatizo kama langu ,ila yy aliitwa interview moja ya Business analyst basi lakini tokea 2015 kila akiapplya anakosa hata hii ya juzi ya TBS ilikuwa ikitaka mtu kama yeye (haina experince) hakuitwa.Sasa pata picha una mwita mtu udahili wa Business analyst,lakini katika sehemu anayofiti kabisa ya TBS humwiti hamuoni kama kuna walakini.
Nimeziona nafasi hizi za TAMISEMI nimezitamani sana na nyingi upande wa network administrator,lakini nikiangalia kutokana na majibu ya yule mama naona bora niache na nafasi zipo zaidi ya 20.Labda nilikuwa naomba ushauri labda niende ngazi gani ya juu ili niweze saidiwa manake nimechoka na hizi tempo za kuungaunga.
Pole sana mkuu, naomba kukuuliza umezungumzia jamaa ako aliona internship za TBS juzi sio na ameitwa upande wa business analyst, kwahiyo kumbe shortlisted wameshaitwa katika interview...?
Mimi nilichogundua kwenye taasisi za serikali huwa hawasomi CV.kama kazi inasema degree in IT/COMPUTER SCIENCE,MTU WA TELECOM UKIOMBA HUITWI,UTUMISHI WAKO VERY SENSITIVE KWENYE COURSE ULIYO SOMA,