Utumishi siwaelewi

Utumishi siwaelewi

swali?
1.ume-certify vyeti vyako?
2.ukituma application unakumbuka kuweka saini yako?
Mbona kila kitu nimeleza hapo juu,sababu hata hao wenyewe utimishi waliangalia profile langu na application record zangu zote wakaona zipo sawa,ila jibu walionipa ndio mimi sikulizika nalo (nimeeleza juu),kama kuna njia nyingine unayoweza nisaidia niambia lakini hivyo vyote ulivyosema nimevifanya.
 
Mbona kila kitu nimeleza hapo juu,sababu hata hao wenyewe utimishi waliangalia profile langu na application record zangu zote wakaona zipo sawa,ila jibu walionipa ndio mimi sikulizika nalo (nimeeleza juu),kama kuna njia nyingine unayoweza nisaidia niambia lakini hivyo vyote ulivyosema nimevifanya.
sawa mkuu je ilishawahi kutoka kazi za telcom pekeake ukaomba na hukuuitwa?
 
Duuh pole Mkuu,kuna washikaji waliosoma Philosophy wa udsm, interviews za Utumishi hawaitwi
 
Pamoja na ushauri wa huyo Mama, nakushari uangalie kama attachment za vyeti zote zipo! Kuna mtu alikuwa na same problem! Kumbe certificate ya chuo haionekani kwenye system ipo transcript tu! Wakawa wanampiga chini mara zote!
Attachment upande wangu ipo vizuri,hata kwao nilivyoenda zipo vizuri.Ila nataka wiki ijayo niende tena nijaribu kuongea nao.kuhusu hizi post.
 
Mbona kila kitu nimeleza hapo juu...

Jaribu pia kuangalia "soft skills". Vitabu vya Dale Carnegie vinaweza kuhusika.

Pengine uko "overqualified", if you see what I mean.

Kwenye application yako ijayo unaonaje ukaacha kutaja sifa ulizonazo ambazo haziko kwenye tangazo.

All the best.
 
Cha msingi fuata vigezo na masharti ya Utumishi whether ur deep or not kwenye eneo gani haitasaidia kitu,kuwa mtulivu mkuu kazi Mara nyingine sio VYETI vizuri na majigambo Ila Mungu Kwanza na hayo mengine yanafuata.
Kuna dada huwa namwangalia na majigambo yake na kila akienda kwenye interview anakosa pamoja anavigezo vyote na sifa zote ila sasa majigambo mengi Sana kiasi Cha kusema huyu mtu akipata kazi atawatesa watu huko maofisini kwa misifa yake.

Glory to God kwa kila anachofanya katika maisha yetu Mimi sijisifu hata kidogo ila Utumishi nimewapenda na nimepata kazi yangu kupitia Utumishi hao hao.
 
swali?
1.ume-certify vyeti vyako?
2.ukituma application unakumbuka kuweka saini yako?
wakivyo kagua hawakumjibu hilo wao walimpa majibu murwa kuwa no it, software na ma computer nini sijui...
 
hizi kazi ni za wahaya... zina hitaji uwe na sifa na wewe sifa huna... waachie wahaya hizi kazi mkuu...
 
Duu Telcom mixer CCNA (pepa ngumu kuliko hizo za utumishi) ,hunijui wewe mimi sijisifii nimesoma Telcom lakini hamna eneo ninalo jiamini kama Networking,alafu wanaoitwa wengi ni rafiki zangu na uwezo wao wakawaida ila tatizo lipo kwangu.Wewe kama umepata shukuru mungu na usijione bora,ukawaona wenzio hawafai ,acha kejeli kwani hunijui mimi.
Tatizo lako ni kujiona bora kuliko wengine.
 
Tatizo lako ni kujiona bora kuliko wengine.
Capture111.PNG

Kaka kwa jibu kama hilo kama ungejibiwa ww,wewe ungejibu nini? Ina maana mimi kutochagulia kwangu ndio sijui?Hatujuani na mimi sina tabia ya kujiona bora kuliko wengie.We hujiulizi kwanini bwana Kivule baada ya kunijibu hivyo na comment yake kafuta.Nimekuja hapa kuomba msaada na ushauri,kwani hili tatizo hata mwenzangu analo. .
 
Nakumbuka kipindi cha nyuma hapa niliwahi kulalamika ,kwa nini utumishi hawanichagui.Nashukuru kuna watu waliniambia wakaniambia niende nikaonane nao ana kwa ana Maktaba kuu ya taifa.Mimi nina Degree ya Telcommunication Engineering na CCNA (R&S).Nimeanza kuapply kazi kuanzia 2016 lakini sikubahatika kuitwa katika usahili hata mmoja,kuna nafasi za TCRA amabazo nilikuwa na fiti sikuitwa,kuna nafasi za TPA (Network Engineer) sikuitwa,wizara ya ardhi (Network Engineering) sitatwa.eGA na TBS zote sikuitwa ,nafasi zote hazikuwa na uhitaji wa mtu mwenye uzoefu.

Nakumbuka wiki kama tatu nyuma nilienda kukutana nao pale maktaba,bahati nzuri niakakutana na mama wa makamo,nikamuuliza tatizo langu, mbona mimi sijawahi kuitwa kwenye udahili tokea nianze kufanya application 2016.Yule mama aliangalia profile langu kalikagua akaliona lipo sawa,akangalia zile requirement za kazi ,nilizoomba akaniambia tatizo naomba nafasi za watu wa Computer Science,Software,IT .Nikamwambia inamaana CV zetu tunazowapa hamtizami,akaniamabia wao wanaangalia kwanza kozi,nikajaribu kumueleza ya kuwa upande wa Networking hamna course inayoingia deep kama Telcom sasa mbona hata hizi mimi sichaguliwi na vilevile nina CCNA ,akanipa jibu nahisi kama limeninyong'onyesha ,aliniambia kwa post ninazo omba ni za watu wa Computer Science,IT,Software,Computer Engineering kama vipi nisubirie za TTCL (wana miaka zaidi ya mitatu siajona tangazo lao la ajira),nilichoka sana.Nikaona tena nitafute shughuli nyingine ya kufanya.

Baadaye nikaja gundua si mimi peke yangu nina jamaa yangu mmoja tulipiga nae project kwenye kamapuni za minara ana Diploma ya Electronics and Telecommunication Engineering na Degree ya Electronics and Communication ,kumbe nae ana tatizo kama langu ,ila yy aliitwa interview moja ya Business analyst basi lakini tokea 2015 kila akiapplya anakosa hata hii ya juzi ya TBS ilikuwa ikitaka mtu kama yeye (haina experince) hakuitwa.Sasa pata picha una mwita mtu udahili wa Business analyst,lakini katika sehemu anayofiti kabisa ya TBS humwiti hamuoni kama kuna walakini.

Nimeziona nafasi hizi za TAMISEMI nimezitamani sana na nyingi upande wa network administrator,lakini nikiangalia kutokana na majibu ya yule mama naona bora niache na nafasi zipo zaidi ya 20.Labda nilikuwa naomba ushauri labda niende ngazi gani ya juu ili niweze saidiwa manake nimechoka na hizi tempo za kuungaunga.
Omba Tena.This time utapata
 
Cha msingi fuata vigezo na masharti ya Utumishi whether ur deep or not kwenye eneo gani haitasaidia kitu,kuwa mtulivu mkuu kazi Mara nyingine sio VYETI vizuri na majigambo Ila Mungu Kwanza na hayo mengine yanafuata.
Kuna dada huwa namwangalia na majigambo yake na kila akienda kwenye interview anakosa pamoja anavigezo vyote na sifa zote ila sasa majigambo mengi Sana kiasi Cha kusema huyu mtu akipata kazi atawatesa watu huko maofisini kwa misifa yake.

Glory to God kwa kila anachofanya katika maisha yetu Mimi sijisifu hata kidogo ila Utumishi nimewapenda na nimepata kazi yangu kupitia Utumishi hao hao.
Sijasema kuwa Utumishi wanapendelea sababu hata baadhi ya marafiki zangu wamepata.Hivi sehemu gani nimejigamba eti?au sababu wewe umepata ndio unataka kujiona bora na jua comment yako imeiandika kutokana na hii comment chini
Capture111.PNG

We unafikiri ungejibiwa kama hivi ,wewe ungejibu nini.Hatujuani ndugu na mimi si mtu wa type hiyo ya kujisifu na majigambo. Hilo jibu nimelitoa baada ya kuona jamaa analeta dharau,wewe hujiulizi kwa nini comment yake kafuta?Kwa jinsi nimtafutavyo Mungu siku zote Mungu mwenyewe ndiye anayejua na si wewe.Mimi sina tabia hizo ulizoziandika wewe ila huyo Kivule kanikera

.Nimekuwa katika mtaa amabao 80% ya marafiki zangu ni maderva bodaboda na bajaji,najua nini thamani na utu wa mtu na namjua Mungu katika maisha yangu yote na hata katika project za minara nimefanya kazi na watu wa darasa la saba mara kibao na tunaheshimiana sababu nimewakuta wao katika industry ,sababu naamini hamna mwalimu mzuri kama uzoefu na kuna muda kazi wananifundisha na kunipangia wao,sasa hiyo dharau mimi naitolea wapi.

Dada usihukumu usije hukumiwa ,kupata wewe usijione bora au wewe unamjua Mungu kuliko Mimi kwani hata wewe kesho yako huijui,hii mingine huwezi jua labda ni mitihani ambayo Mungu kanipa.
 
Back
Top Bottom