Utumishi mbona kigugumizi kutoa majibu ya interview ya oral nafasi za TRA? Je haki itatendeka

wakichakachua tutajua tu, na tukijua tu hataachwa mtu salama pale sekretariet maana tutacompare majina ya walioitwa kazini ka yanafana na yale walioitwa kwenye oral kipindi cha nyuma isitoshe kanzidata kwa sasa kwa baadhi ya kada haina majina yaliyotunzwa mfano kwa kada ya hr kwasababu mchakato wa kuajiri ulikua umesimama zaidi ya mwaka,,,
teh..vijana mna hasira
 
Pamoja na hayo TRA walikua wanaajiri wenyewe bila kuwatumia utumishi, pengine utumishi wangeshafanya usaili siku za nyuma kwa niaba ya TRA na baadhi ya watu walofaulu wakakosa nafasi tungesema ni wa intake ilopita kitu ambacho kwa sasa hakiwezekani, hayo majina ya kwenye kanzudata yanatoka wapi??
true
 
Point spoken
 
Kwenye database ndipo pa kupigia#
G. O. E.
 
wakichakachua tutajua tu, na tukijua tu hataachwa mtu salama pale sekretariet maana tutacompare majina ya walioitwa kazini ka yanafana na yale walioitwa kwenye oral kipindi cha nyuma isitoshe kanzidata kwa sasa kwa baadhi ya kada haina majina yaliyotunzwa mfano kwa kada ya hr kwasababu mchakato wa kuajiri ulikua umesimama zaidi ya mwaka,,,
oral watu waliitwa kwa namba je utajuaje??
au ndo mikwara
 
Kitu ambacho huwa sikiwekei matumaini ni matokeo wala sitaki kuyalazimisha yawahi, unaweza ukayasubiri kwa hamu yakaja yakakusononesha sana, kwa hili bora ujiweke jkundi la KUFELI ili ikitokea umeitwa iwe heri kwako, ikitokea umekosa ISIKUSUMBUE
 
TULIA MKUU. HAPOHAPO.
1. VYETI VIHAKIKIWE
2. IJULIKANE KAMA UNAFANYA KAZI SERIKALINI?
3. JE, WEWE NI MTOTO WA NANI?
4. GPA VIPI?
5. UMESOMA CHUO GANI NA KOZI GANI? ILITAJWA KTK TANGAZO LA KAZI?
6. UNA UZOEFU GANI?
7. NI MWANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA AU MWANASIASA? WA CHAMA GANI?

Wanahakikisha nii hapo sasa? wapo wenye First class AGOA imewatoa nje, na wapo wenye Lower class AGOA imewaingiza ndani
 
Kitu ambacho huwa sikiwekei matumaini ni matokeo wala sitaki kuyalazimisha yawahi, unaweza ukayasubiri kwa hamu yakaja yakakusononesha sana, kwa hili bora ujiweke jkundi la KUFELI ili ikitokea umeitwa iwe heri kwako, ikitokea umekosa ISIKUSUMBUE
hilo nalo neno...
 
Back
Top Bottom