Unawakwaza watu mwisho utukanwe bure, watu wamevurugwa we unaleta masihara.BREAKING NEWS!
Fungua hii Link Majina ya Waliopangiwa Kazi TRA
anazingua huyo aisee, kama mtotoUnawakwaza watu mwisho utukanwe bure, watu wamevurugwa we unaleta masihara.
G. O. E.Yametokaaaaaa, Mungu ni mwema.
Umepita Mkuu??Yametokaaaaaa, Mungu ni mwema.
Ndo mkuu, namshukuru sana Mungu.Umepita Mkuu??
Hongera
hongera mkuuMungu mwema nimepata pia
Daa nimetoboa pia... Thank u lordMungu mwema nimepata pia
Malengo na receivables mkuu.Hivi jamani watu wote tuliobahatika kutoboa hizi kazi tulishindwa kutaftana kweli hata tukapate pepsi