Utumishi huu uhuni mmeanza lini?

Mm nilifanya oral pale maktaba kuu 7/12/2017 wakasema majibu baada ya wiki mbili mpaka leo hakuna kitu na hakuna sababu yoyote iliyotolewa
 
Hawa jamaa sitokaa kuwatetea mimi! Wanakadria maksi tu bila kusahihisha kiukweli imekuwa bora hata wizara tu
 
Mkuu poleni sana,

Hayo ni machache tu kati ya madudu ya Sekretarieti ya ajira, hao jamaa siku hizi wana mapungufu mengi sana hadi aibu, hayo uliyosema ni baadhi tu ya mapungufu yao ila humu ukisema unaambiwa ujiandae kamwe huwezi shindana na mtu aliyekwisha andaliwa.....Siku nyingine unaenda pale unakutana na wenzako wana maswali mfukoni, muda mwingine watu wamesoma programme moja sifa zote sawa profile zinalingana ila mmoja anaitwa usaili mwingine anaachwa.

Sekretarieti ya ajira wanapaswa kujirekebisha madudu ni mengi mno.
Awamu yetu jamaa jina lake lilitoka Mara mbili kituko kwenye shortlisted jina jingine kafauru jingine kaferi
 
UTUMISHI WALIANZA VIZURI SANA MIAKA ILE INAANZISHWA ANZSHWA WALIKUWA FAIR SANA,YAANI MATOKEO YAKITOKEA UKICHUNGULIA MAKSI UNAJUA KABISA NI MAKSI HALALI

ILA MIAKA YA KARIBUNI WAMEKENGEUKA
 
Awamu yetu jamaa jina lake lilitoka Mara mbili kituko kwenye shortlisted jina jingine kafauru jingine kaferi

Umefanya nicheke mwenyewe A'seee!!

Sekretarieti wanachokifanya wanajua wenyewe ni madudu kwa kwenda mbele.
 
UTUMISHI WALIANZA VIZURI SANA MIAKA ILE INAANZISHWA ANZSHWA WALIKUWA FAIR SANA,YAANI MATOKEO YAKITOKEA UKICHUNGULIA MAKSI UNAJUA KABISA NI MAKSI HALALI

ILA MIAKA YA KARIBUNI WAMEKENGEUKA
NI KWELI KABISA WALIANZA VIZURI SANA HAWA JAMAA LKN KWA SASA WANAHARIBU SANA KAZI NZURI KWA KASI YA 5G
 
Utumishi walianza vizuri sana na kuwa tumaini la vijana wengi wahitimu. Miaka kadhaa iliyopita mtu ilikuwa ukikosa pale nafasi unakuwa na amani kabisa jinsi mchakato ulivyokuwa wa haki. Utawala huu wa rais wa "wanyonge" anayetumbua kila penye jipu, kuna kidudumtu kimeingia utumishi. Mambo yamekuwa yaleyale kama enzi za halmashauri kuajiri tena bila shaka hali ni MBAYA kuliko kipindi kile. Kwanza gharama ni kubwa mno maana usaili unafanyika Dar pekee. Upendeleo, harufu ya rushwa na watu kuwa na maswali ya usahili kabla ya siku ya usahili ni vitu vinavyodhihirika kwa kasi mno sasa. Japo hawawezi kukosa sababu ya kukanusha (kama ilivyo kawaida ya serikali na idara zake) lakini vijana tunayaona haya na pa kusemea hatuna maana huko mitandaoni kuna uwezekano wa jela ya bure, kila mtu kafungwa mdomo. Ila siku itakuja tu upendeleo+harassment za bodi ya mikopo kwa wadaiwa+hali mbaya isiyosupport kujiajiri (ona benki zetu zilizotupa mikopo ya kilimo cha nyanya zinavyofungwa) nk. Tutavichoka na hakuna atakayeogopa chombo chochote kandamizi. Kule Tunisia Mehmet Ali hakusubiri polisi waje wamuue na kutumia vibaya kodi ya wananchi, hiyo kazi aliifanya mwenyewe.
Usaili wa Tra watu walikuwa na maswali kuanzia written mpaka oral
 
Back
Top Bottom