Kwa kukadiria tulihudhuria kwenye written interview ni kama 170 kati ya shortlisted candidates 282 lakini cha ajabu matokeo yametoka ya watu 286, hapo ndo maajabu yanapoanzia, hao wanne nimesema kwa mfano assume watu wote 282 walihudhuria lakini kuna wanne wamechomekwa lkn kiuhalisia sio wote walioitwa walihudhuria. Jibu la haraka ni kwamba UTUMISHI wanatuchezea rafu katika hizi interview zao sie watoto wa wakulima tusio na watu wa kutushika mikono.Sasa mkuu waliozid hapo ni wanne tu au 287-170 ? Si umesema waliofanya pepa ni 170 tu?
Mkuu umeeleweka vyema mno tangu post yako ambaye hajakuelewa ni zuzu au ni mnufaika wa huo uozo ili utumishi wawe salama inabidi walitolee maelezoKwa kudadiria tulihudhuria kwenye written interview ni kama 170 kati ya shortlisted candidates 282 lakini cha ajabu matokeo yametoka ya watu 286, hapo ndo maajabu yanapoanzia, hao wanne nimesema kwa mfano assume watu wote 282 walihudhuria lakini kuna wanne wamechomekwa lkn kiuhalisia sio wote walioitwa walihudhuria. Jibu la haraka ni kwamba UTUMISHI wanatuchezea rafu katika hizi interview zao sie watoto wa wakulima tusio na watu wa kutushika mikono.
sio ufala mkuu ulipima maji na unga ukajiona huwezi toboa...anyway si wengine home hakuna mtaji so hata tukiitwa 50000 tutaenda kujaribu bahati zetuhuu ufala wa kuitwa interview watu 1000 kwenye post 4 niliacha mwaka jana.
je hili swala raisi na mamlaka zake hawajalisikia ili majibu?Ndugu Tanzania ina ugonjwa unaitwa Undugulism....unalitafuna sana taifa
Utumishi hawawezi kufanya mchezo wa kitoto kama unavyofikiri hawa kuwa wanataka kuwapachika kama unavyodai wangesema tu walikuwepo kwenye database then wakapewa barua za kuripoti kituo cha Kazi chamsingi ulipaswa kujiandaa vyema tu acha kulalamika vitu ambavyo havina mashiko
It's true brother hili la watu kuwa na maswali mkononi umekuwa ni mchezo wao wa kawaida, yaani kuna watu mnakuwa nao pale na wanawacheka kimoyomoyo, sijui tukimbilie wapi sasa jamaniMkuu poleni sana,
Hayo ni machache tu kati ya madudu ya Sekretarieti ya ajira, hao jamaa siku hizi wana mapungufu mengi sana hadi aibu, hayo uliyosema ni baadhi tu ya mapungufu yao ila humu ukisema unaambiwa ujiandae kamwe huwezi shindana na mtu aliyekwisha andaliwa.....Siku nyingine unaenda pale unakutana na wenzako wana maswali mfukoni, muda mwingine watu wamesoma programme moja sifa zote sawa profile zinalingana ila mmoja anaitwa usaili mwingine anaachwa.
Sekretarieti ya ajira wanapaswa kujirekebisha madudu ni mengi mno.
Pale DUCE bila mafungo na novena hutoboisio ufala mkuu ulipima maji na unga ukajiona huwezi toboa...anyway si wengine home hakuna mtaji so hata tukiitwa 50000 tutaenda kujaribu bahati zetu
Mm tokea 2010 sijafanya upuuzi huohuu ufala wa kuitwa interview watu 1000 kwenye post 4 niliacha mwaka jana.