MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,040
- 859
HABARI WANABODI
Natumai mpo wazima humu ndani job seekers na employers kama wapo. Naomba nitumie jukwaa hili kuweza kuleta malalamiko yangu kwa wahusika najua watanisikia na watanzania wengine pia walijue hili.
Habari yenyewe ni kwamba hivi karibuni hawa jamaa wameniita kuhudhuria kwenye interview yao ambayo imefanyika tarehe 03/01/2018 siku ya jumatano kwa nafasi ya COORDINATOR II mwajiri akiwa ni NACTE lkn UTUMISHI wao wanaajiri kwa niaba. Ambao tulioitwa kuhudhuria written interview hii jumla ni 282. Tulioweza hudhuria tulifika kwa mfano mie nimetoka mkoani lkn wapo ambao hawakuweza hudhuria ni kawaida hutokea.
MALALAMIKO NA KILIO CHANGU CHANGU
Kwakuhitimisha ili tusichoshane kwa maelezo marefu
NIMEAMBATANISHA MAJINA YA SHORTLISTED NA MATOKEO KWA NAFASI YA COORDINATOR II KAMA USHAHIDI WA TUHUMA NILIZOZILETA, KUMBUKA NIMETAJA NAFASI YA COORDINATOR II PEKEE

- Tuliitwa 282 kwa nafasi ya COORDINATOR II lakini tuliofika pale ni kama 170 kwa kukadiria.
- Matokeo yametoka leo yanaonyesha kwamba tuliohudhuria na kufanya mtihani ni 286. Sasa tuseme tulihudhuria wote kufanya ile interview, swali je hawa WANNE(4) waliozidi wametokea wapi yaani 286 kutoa 282 wapata nne.
Kwakuhitimisha ili tusichoshane kwa maelezo marefu
- Kuna watu wanakuwa wameandaliwa kwa ajili ya hizi kazi, hawa wanne(4) walizozidi utumiishi watueleze wametokea wapi.
- Nadhani pia hawasahishi mitihani vizuri, hisia zangu kinachofanyika ni ukadiriaji tu wa maksi.
- Watahiniwa hawakuhudhuria wote kwanini sasa matokeo yatoke kuzidi hata idadi halisi ya walioitwa kuhudhuria interview yenyewe.