Utumiaji wa simu kwa muda mrefu

Swala la kuwa na madhara au kutokuwa na madhara inategemeana na umuhimu wa hivyo vitu unavyofatilia mitanndaon.
1.kuna vitu ni vya muhimu ila havihitaji uharaka(mf.kufanya mazoez, kusoma vitabu,kuboresha mahusiano yako na watu n.k)

2.kuna vitu ni vya muhimu na vinahitaji uharaka(mf.kupokea simu za kazi,kujibu barua za kazi,kuapply kazi,n.k)

3.kuna vitu siyo vya muhimu na havihitaji uharaka(kupiga umbea,udaku,porn n.k)

4.kuna vitu ni siyo vya muhimu na vinahitaj uharaka(mf.kuwah kuangalia video za zuchu na kina diamond youtube,connection za ajabuajabu)

Unashauriwa muda wako mwingi uutumie kwenye namba moja na mbili
Kuna app inaitwa stayfocused hiho itakusaidia kuzuia matumiz mabaya ya simu na inakusaidia kufanya mambo yako ambayo ni muhimu
 
Limit your phone use kwenye setting ya simu kuna option ya kufungia apps mpaka ifike muda fulani mfano jioni itakusaidia na utaondokana na addiction jaribu leo hii hii hutojuta..
 
Kwani we unaonaje? Inakuletea madhara yoyote? Ratiba zako za kufanya mambo mengine ya msingi haivurugiki? Kama unaona inakuletea madhara download app inaitwa YourHour...hii itakutia adabu.. addiction yote itaisha..na kama haujaamua kuondokana na addiction yako lazima uta uninstall hiyo app..
inafanyaje kazi mkuu binafsi nataka niondokane na addiction pia nipe muongozo chief..
 
Back
Top Bottom