Utu na ubinadamu uko wapi?

Utu na ubinadamu uko wapi?

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,098
Reaction score
10,449
Daaaah!
Eeeeh bwana eeeh, katika pitapita zangu huko mitandaoni leo nimekutana na hii video.

Hivi harakati za utafutaji ndio zimetufikisha huku kweli?

Utu uko wapi?
Ubinadamu uko wapi?

Tena hii kitu inarushwa LIVE kabisa, na mashabiki wa kutosha ukumbini.

Aisee, utafutaji mgumu sana.

Nilikuwa nanunua fufu pale mataani, nikiwa nasubiri chenji yangu, nikamuona mwanamke anatembea na mtoto lakini mtoto anatembea kwa kasi kuliko mama yake. Ghafla mwanamke akapaza sauti akasema... “Degree!! Ningoje!”
Kwa kweli nilishangaa sana kusikia hilo jina. Ili kutuliza shauku yangu, nikamsogelea yule mama nikamuuliza, “Mama, mbona unamwita huyu mtoto mdogo Degree?” Mama akacheka kisha akaniambia, “Mwanangu, nilimtuma binti yangu chuo kikuu, na hiki ndicho alichoniletea nyumbani!”
 
Doh 😁, mama akaona bora amalizane na tukio la kuletewa mjukuu kwa wema kabisa
 
Back
Top Bottom