Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Haya ndo matatizo ya kuanza kupiga msuba ukubwani,we mwana hizaya wewe alokutuma uje chitchat nani,umelazimishwa,au kura zako za uneki hazikutosha ndo ukaja kumalizia mihasira hapa,tena utukome kama mitt romney alivyowakoma wapiga kura wa marekani.
Na ashindwe na kulegea,chitchat iko juu kama Obama,dadadaddedededki.
Achana nae,uso umemkakamaa utadhani ni juma kaseja baada ya kufungwa bao la pili na mtibwa.
Nend huko kuliko zidi uzee kwani huku tumejaa watoto lol
Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!
Kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa Bishanga anaonyesha ukali wake hadharani! Ukiona hivyo ujue kamaliza lile deni lake la FINCA
.mtu akitafuta umaarufu anakuja kuponda chit chat.....
Anatushauri tuachane na chitchat tuwe tunashinda naye saluni tukipiga umbea,
Ananchekesha ( source: FF).
we ushawahi kuona nyeti zetu mpaka utuite watoto?
MzunguMndali kama kichwa cha habari chahusika, bsi mie tumbo la habari lahusika, umetumwa? haya toweka mkuu, wasalimie huku ambako hakuna utoto, huku tupo watoto tu.... byeeeeeeeee mzungu wapi wewe? Muongo tu kwanza
uso umemparama kama tambara la deki lililokauka nyambafu!AMEITWA KWANI!MUULIZE KAITWAA!?Anacheza huyo na uso wake uliokakamaa utadhani anakamuliwa jipu la kwenye papa.
MzunguMndali nimekupandisha nikakushusha nikakutupa kwenye dustbin. mia