Utosi wa mtoto haudundi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utosi wa mtoto haudundi

Discussion in 'JF Doctor' started by Chokochoko, Oct 9, 2012.

 1. Chokochoko

  Chokochoko JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  wapendwa wanajf anaejua elimu ya utosi wa mtoto kudunda anijuze fasta naomba maana naona utosi wa kichanga changu hauchezi sina raha jamani nisaidieni sijawahi kuona utosi wamtoto mchanga usicheze angali mchanga  0
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  mkuu.@Chokochoko usitake ushauri wa watu hapa kabla ya mtoto wako kumpeleka Hospitali nenda hospitali kamuone Daktari muhusika wa watoto wachanga atakufahamisha nini cha kufanya. Kwani mtoto wako anaumwa?Kama mtoto wako haumwi kuna tatizo gani kuhusu Utosi wake ikiwa haudundi?
   
Loading...