Mtoto wangu wa mwaka na miezi 6 hajafunga utosi

chriss45

New Member
Nov 20, 2022
4
3
Naombeni msaada Nina mtoto wa kike ana mwaka ma miezi 6 mpaka sasa utosi wake bado haujafunga yan bado unadunda Kama mtoto mchanga
 
Unajua utosi unatakiwa kufunga mtoto akiwa na umri gani?
Je ni utosi wa nyuma au mbele, kawaida utosi wa mbele kufunga kwakwe inaweza kuchukua mpaka miezi 18 or mwaka na miezi sita.
Utosi kufunga mapema ni inawezekana ikawa ni shida na kuchelewa kufunga pia inaweza ikawa ni shida.
Kama mtoto ana dalili nyingine kama kichwa kuwa kikubwa kuliko kawaida , mpeleke hospitali otherwise ni kawaida.
 
Asante kwa msaada Mungu akubariki
 
Chukua dudu yako pigapiga hapo kwenye utosi wa mwanao, tatizo kwisha utosi utafunga
 
Back
Top Bottom