Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Tatizo wameshasoma nyakati mdogo mdogo wanaingia upinzani kwa gear za kuikashifu iliyowalea na huko wanapokelwwa kwa mikono miwili bila kuchujwa hivyo hayo mabadiliko yasahau hivi karjbuni kutufikka...tunayataka wenyewe watanzania, hamna kinachoweza kubadilika kwenye hii nchi kama hatutaliondoa hili lichama liloshikilia serikali na kulizikia mbali hili likatiba libovu.