Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,804
Kuna muda huwa najiwazia ni bora nchi ijulikane inaenda kinyume na haki za binadamu kuliko tunacho fanyiwa. Yaani ni mala 100 mtu akijulikana kama hawa wany'ongwe kwenye haraiki ya watu au kupigwa risasi. Bora tuwe kama china tu.
Hao ambao wataitajika kupitisha iyo sheria ya aliefanya ufisidi ktk nchi anyongwe, Ndio hao hao miongoni mwao ambao wataitajika wanyongwe