Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,754
- 3,680
Nguvu nyingi akili kisoda, ndio awajibishwe.
JWTZ ndio sifa yao hii siku hizi? Haya bwana mkubwa!
Nguvu nyingi akili kisoda, ndio awajibishwe.
DangoteSiwezi kubishana na Mh Rais ila na bishana na wapambe nuksi walio mfanya asema siku za maombolezi ni 14 wakidhani ni kumkomoa marehemu kumbe Kikatiba ni siku 21 zilizoisha jana.
Wanao mdanganya Mh Rais kuwa baadhi ya wafanyabiashara walioingia kwenye mshikemshike wa kudaiwa lodi kimaguvu na kimabavu bila kutumia akili ni watakatifu kuliko malaika wa Mungu wa Mbinguni na wamedhulumiwa jasho lao. Hivi huyo Mfanyabiashara aliye kuja na private jet kutaka kuyatengeneza mambo ya kodi akazenguliwa na kuondoka ni nani? Mbona hatajwi jina jamii ikmjua huyu mfanyabiashara mtakatifu.
Kabisa pia aliweka mazingira sahihi na salama kwa wauzaji wa madini... Kwa kuwa na masoko ya kuuzia.Pamoja na kuwepo kwa Underground Tunnels za kutosha lakini haijawazuia wamarekani kujenga Ukuta kati yake na Mexico...
Kitaalam tunasema risk can never be eliminated, it can only be reduced to an acceptable level...Ujenzi wa ukuta haukua intended kumaliza tatzo la utoroshaji wa Tanzanite bali kupunguza ukubwa wa tatzo.
Tunapojicheka kwa kujenga ukuta basi ni bora tuwacheke na Wamarekani pia..
ni hilo tu ndugu zangu.
Ni mapema sana " kushobokea ".. muhimu tusubiri matokeo ya utekelezaji wake.Hotuba ya mama ya jana unaweza kuchukulia mkopo benki. Ni hotuba ya karne!
Kuna mwanasiasa amesema kuwa kiongozi aliyetutoka alikuwa SHUJAA ALIYEPITWA NA WAKATI
Nia alikuwa nayo njema na rasilimali zetu lakini mbinu alizotumia kuzipambania rasilimali zetu ni za
Kuna mwanasiasa amesema kuwa kiongozi aliyetutoka alikuwa SHUJAA ALIYEPITWA NA WAKATI
Nia alikuwa nayo njema na rasilimali zetu lakini mbinu alizotumia kuzipambania rasilimali zetu ni za kizaman
Na unaweza kuta huyohuyo kiongozi aliyesemà hvyo ni mmoja wapo wa wale waliompa hizo mbinu anazoziita za kizamani wana siasa wanafiki sana,RIP JpmKuna mwanasiasa amesema kuwa kiongozi aliyetutoka alikuwa SHUJAA ALIYEPITWA NA WAKATI
Nia alikuwa nayo njema na rasilimali zetu lakini mbinu alizotumia kuzipambania rasilimali zetu ni za kizamani!
Ni mapema sana " kushobokea ".. muhimu tusubiri matokeo ya utekelezaji wake.
Kikubwa tumuunge mkono kwa kutekeleza wajibu wetu na kumwombea
JMT....Kazi iendelee
Upigaji hautokwisha biashara ya madini ni biashara yenye utajiri mkubwa vita yake ni kubwa unaweza hisi unapigana vita na mataifa ya nje kumbe hata watu wa ndani mwako wapo vitani kupigana na wewe ninkwa ajili.ya maslahi yao binafsiLabda ulikua mpango wa serikali yenyewe ya awamu ya 5,juu imefunga chini yenyewe ndo inafanya .
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Mnapomjadili CDF kuweni na kiasi. huyo siyo mgambo mlizoea kuwasema mtakavyo. Jadilini kwa staha bila kumhusisha. Ni ushauri tuCDF ajitathmini,aonyeshe mfano. JPM alikua anawasema wengine, huyu kampandia hadi CDF.
Kwakweli yeye na wenzake, wawajibike, ni fedheha, nadhani JPM hakua anajua kama udhaifu huo upo, angewawajibisha.
haiwezekani hakuna mtengo unaoweza kupiga kwa kuelekea chini halafu uchimbe kwa kuelekea juu(mantapaa) kwa urefu huoNi hivi.. umezungushwa ukuta sawa, lakini uchimbaji huhusisha utafutaji wa mali mielekeo tofauti tofauti chini kwa chini hivyo kuzaa mahandaki marefu ambayo yanavuka usawa wa ukuta umbali mrefu tu.. sasa kama unataka kutoroshea hukohuko unashindwa?
Mbinu nyingine zipi?sii kweli kwa njia za chini ni haiwezekani itakuwa ni mbinu nyingine ila ya njia za chini ni kitu hakiwezekani
ndiyo inatakiwa wenye jukumu hilo wachunguzeMbinu nyingine zipi?
Aliyesema atakuwa anazifahamu, kama ameweza kukosoa shida iko wapi kushauri!?ndiyo inatakiwa wenye jukumu hilo wachunguze