Utoroshaji Tanzanite umenikumbusha maneno ya mchimbaji huyu

mimi binafsi nilifanya kazi kitalu cha tz1 kipindi hichoo!!nilikuwa security na mitobozano ni mingi ingawa kule chini kuna mageti na magrili lakini wale waapolo walikuwa wanakuja wanatoa ramani tunawaaruusu wanaingia waingie wakiwa na jenereta,diga na vilipuzi.wanapiga kazi hata wiki..na wakija wako fulu hadi na wake zao!!mzigo ukitoka sisi kama security ndo hufika kwanza pale kwenye chakula sababu tuna bunduki na ukileta usennnnge tunakulipuaaa!!tukishapata zile maini ndo tunaachia maumau washambulie..hahaha kazi za kule ni ngumu hata mungu anajua..kama umezama migodini sana hata kaburini na kufa hutakaa uogope milele maisha ya kule na kaburini hayana tofauti mark my words
 
Back
Top Bottom