Utofauti wa PUTS na Vyuo vikuu vya umma

Utofauti wa PUTS na Vyuo vikuu vya umma

Magoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
448
Reaction score
79
Kwa wale wanaofahamu hizi ngazi za mshahara (basic salary) katika PUTS i.e PUTS 1-2, je zinatofautiana kutoka chuo kimoja mpaka kingine? please kwa mwenye ufahamu aweze kunifahamisha na kama kuna utofauti kwa nini zitofautiane mfano katika vyuo vya SUA, UDSM, na UDOM. na hiyo PUTS 1 na PUTS 2 ni ngapi katika hivyo vyuo??
 
Back
Top Bottom