hivi kwenye ile milango kumi na mbili kabila gani kutoka Afrika litapita? mimi nilisika eti Wachagga...Naam! Mji ule wa dhahabu, Yerusalem mpya. Hakuna magonjwa, wala njaa, wala Jua maana mwanga wake ni Mwanakondoo.
Kazi ni moja tu! Kuimba na kusifu mbele ya kiti cha enzi pamoja na malaika zake, makerubi, na wale 24. Sema aaamin!
... kabila ya Mwanakondoo; waliosafishwa kwa damu yake.hivi kwenye ile milango kumi na mbili kabila gani kutoka Afrika litapita? mimi nilisika eti Wachagga...
Huu mtazamo na mafundisho yake vinadumaza uwezo wa kufikiria.tizama how Europe under developed Africa.