maliselo22
Member
- May 18, 2017
- 72
- 52
1.Mwendo wa soko 😉
Soko la cryptocurrency kwa kawaida lina kasi kubwa au mzunguko mkubwa kulinganisha na forex
kwa mfano bitcoin inaweza kupanda bei kwa lisa na kushuka bei kwa lisa,hivyo basi kuna faida yake na hasara yake.lakini kwa upande wa forex soko mwendo wa soko upo taratibu ,lakini inategemeana na pair ulizo chagua
2.Faida ya kustaki
Cryptocurrency ina faida kubwa sana ya kustaki ukilinganisha na forex,unaweza kustaki eos au ethereum kwa muda wa miaka miwili au mitatu ukajizalishia pesa nyingi sana bila ata ya kufanya kazi lakini kwenye forex kitu hicho hakuna.Lakini kwenye cryptocurrency pesa inaweza kudidimia lakini pia inajirudi .kitu cha muhimu ni uvumilivu katika biashara hii usiwe na haraka ya kupata pesa kwa haraka katika biashara cryptocurrency
3.Riski
Kwa forex riski ni asilimia 100% lakini kwa cryptocurrency riski inaweza kuzuilika ukiwa na elimu ya coin husika na usalama wake.na miundo mbinu yake.
4.Utabiri wa masoko
Kwa forex ,huwa unafanya technical analysis kufanya utabiri pia kwa crypto ni hivyo hivyo lakini kuna channel muhimu kwa taarifa za masoko ukilinganisha na forex hivyo crypto zinategemea news sana kuliko tabia ya soko.kwa hio ni rahasi kuchambua soko ukiwa unajihusisha na cryptocurrency.
5.Miundo mbinu ya kibiashara
Katika forex miundo mbinu huwa ni changamoto kwa sababu inategemea na blocker lakini crypto miundo mbinu yake ni rafiki kwani inakuwezesha kumiliki kiasi chochote na mahali popote kulinganisha na forex .blocker wanasheria zao za kigharama na kimahali pia.